Kabisa, kwani gharama ya kutogeuka jivu ni nafuu mno. Tumia neno HAPANA.Unashauri tukatae kuwa majivu siyo??😀😀
Kabisa, kwani gharama ya kutogeuka jivu ni nafuu mno. Tumia neno HAPANA.Unashauri tukatae kuwa majivu siyo??😀😀
Shida ni kama jamaaa ni mnyonya papuchi akianza kufkiriaa kula manii za mabahariaa
Apoo msamaha atausikiaa kwa jirani
NINAVYOJUAGA MIMI MKUYENGE KIPOCHI HAKINAGA MAKOMBO.Think beyond your borderlinesWanaume mna mahesabu ya mbali walaqhi..!!
Uliwafuma wakiongea na si akiwa amewekwa REVERSE COWGIRL!Me iliwahi kunitokea kumfuma demu wangu na boy mwingine na nikamsamehe vizuri tu bila kinyongo sisi ni binadamu hatujakamalika so tunapaswa kuwa na roho ya msamaha
Unaijua GUILTY?Kosa alilofanya ni kukiri makosa.... Jamani ukichepuka na hujafumaniwa ni marufuku kukiri makosa, komaa hujafanya chochote mwanzo mwisho kitendo cha kukubali hilo ni kaburi lako umejichimbia mwenyewe...
Hapo kwa kweli aishi na huyo boyfriend wake kwa akili lolote laweza kutokea
Mwanaume ni kama jaji au hakimu, ukikiri kosa mbele yake hakumfanyi akupende zaidi, anakuchoronga miaka gerezani mbaa!
Mwanamke kataa, hata akikwambia aliyemwambia kuwa unachepuka ni mamake, mwambie na mimi nikianza kukueleza ya mamako utaachana nae? Au kwakuwa ni mimi ndio unaninyanyasa( anza kulia).
Mwanamke, kataa kuwa mkaa.
kumbe kulia ndiyo gear yenu? (Leo ndiyo napata jibu(Nimemshauri akimbie asigeuke nyuma hata hatua moja kwakweli.!!Nakupa jibu kama mwanaume.
=> kama jamaa yake hakuwahi ku sex naye jua kuwa jamaa anasubiri arudi kisha ata sex naye na atamfanya kitu kitakachomfanya huyo dada ajutie maisha.
n.b
kiukweli hakuna kitu kinatuuma wanaume kama kujua mpenzi wako amekusaliti na ushaidi ukawa nao 100% (kama alivyomwambia jamaa) .so hapo hajasamehewi mtu simply simply.
Kiranga cha hali ya juu.Hata mimi nimemshangaa, inakuwaje anajisema hata hajaulizwa
we lazima uende mbinguniMe iliwahi kunitokea kumfuma demu wangu na boy mwingine na nikamsamehe vizuri tu bila kinyongo sisi ni binadamu hatujakamalika so tunapaswa kuwa na roho ya msamaha
Mwanaume ni kama jaji au hakimu, ukikiri kosa mbele yake hakumfanyi akupende zaidi, anakuchoronga miaka gerezani mbaa!
Mwanamke kataa, hata akikwambia aliyemwambia kuwa unachepuka ni mamake, mwambie na mimi nikianza kukueleza ya mamako utaachana nae? Au kwakuwa ni mimi ndio unaninyanyasa( anza kulia).
Mwanamke, kataa kuwa mkaa.





Dudu la yuyu limemnogea lazima atalifuta Ni sawa na kula nyama ya binadamu Tena Bora aachane na jamaaaWanaume huwa hawasamehi usaliti kamwe..kwanza kwanini alimwambia angebaki na siri yake moyoni...Hapo mwanaume atakuwa anamtafutia timing amlipizie. Jamani wanawake kama mwanaume hajakufumania live usikubali kwamba umemsaliti narudia tena usikubali kabisa huwa hawasamehi kabisa.
Nadhani hajui Kuna watu tukikutia roba ya mbao hutoke Hadi shingo inaoza we muache tu ili tupate stori nyingine ya mauajidada usisubiri magunia mawili ya mkaa. utabaki majivuu.
Mungu atulinde! Mwanaume ukisalitiwa kichwa kinajaa mambo mengi mengi. Muda mwengine akili inahama inafikiria sasa nimfanyaje huyu?Unchsema n kweli...mimi mwenyew naweza kusamehe....ila kaz ipo kweny kusahau....cwezagi....
Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!
Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!
Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..
the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!
Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,
After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?
Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!
Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..
Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??