...INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE? toa mawzo yako....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE? toa mawzo yako....!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by jamiif, Jul 26, 2012.

 1. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  ebu tusaidiane hapa...ingekuwa wewe hapo ungefanyaje?
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,288
  Likes Received: 2,956
  Trophy Points: 280
  Unaomba MUNGU tu!
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ni rahisi kupambana na nyoka kuliko wengine hivyo hapo ni kuangalia uwezekano huku maombi kwa Mungu yakiongoza kupambana na nyoka hata kwa kumkamata kichwa na kumtupia kwenye maji.
  Ila ukiwa katika hali kama hii haya mawazo hayo huwa hayapo du!huu mtihani!
   
 4. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  haya, mfano ukafanikiwa kumwaga nyoka majini, na huyo simba anayekungoja hapo chini inakuwaje?utata!
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hapo unasali ....Ee baba mikononi mwako naiweka roho yangu halafu unatulia!
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Simba Mungu atadili nae maana baada ya kumtupa nyoka majini inaweza patikana afueni ya hata kupiga mayowe ya msaada
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  hapo wote unawapa "Hi.." afu anaachana nao!
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,767
  Likes Received: 7,071
  Trophy Points: 280
  - unamtupa nyoka kwa simba kile kiwewe lazma mmoja wao akimbie na akiingia kwenye maji mamba kapata kitoweo.

  -unaangalia direction ya mto sisi wa kijijini tunajua sku zote mamba lazima apishane na maji. Maji yakishuka mamba anapanda so ukiruka sehemu maji yanaposhuka mamba hawezi kufata maji yataingia kwenye sehemu ya haja kubwa.
   
 9. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  nakubaliana nawe mkuu, tatizo je, hiyo movement wakati unamtupa nyoka kwa simba hilo tawi hapo linakusubiri wewe tu? si litakudondosha kwa mamba hapo mtoni?
   
 10. peri

  peri JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ningekuwa mimi nachapa ucngizi, nikiamka kila mmoja kashasepa
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,767
  Likes Received: 7,071
  Trophy Points: 280
  unaangalia direction ya mto sisi wa kijijini
  tunajua sku zote mamba lazima apishane na
  maji. Maji yakishuka mamba anapanda so
  ukiruka sehemu maji yanaposhuka mamba
  hawezi kufata maji yataingia kwenye sehemu ya
  haja kubwa.

  Hio solution isimame yenyewe
   
 12. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  asante sana kwa ufafanuzi huu...sasa maji yakiingia ktk haja kubwa ndio inauwaje anakufa au?
   
 13. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ukifanikiwa kutoka hai ktk hali kama hii ujue hiyo ni ndoto.
   
 14. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Hii picha inanikumbusha miaka ile,vitabu vya shule vilikuwa vinakontents za ukweli.Hapo solution ni kufumba macho,ukifumba macho hao wanyama hautawaona wala hilo tawi linalotaka kukatika hutaliona.Fumba macho and relax until the end of time.Nb:Not all solutions are perfect solutions
   
 15. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ndio zilikuwa picha za ukutani hizi.
   
 16. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ukifikia hali hiyo ujue ushaisha. Dawa ni kupiga maombi nyoka ageuke kamba, mamba wawe samaki na simba awe mpole kama mbuzi
   
 17. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ipelekwe kwenye jukwaa la mada mchanganyiko, au mathematics inahusika nin?? mi hii ni ndoto na si vinginevyo
   
 18. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145


  dah... Kaka hapo red mbona unataka kunchekesha... Kwan sehemu ya haja kubwa ya mamba ni pana sana...
   
 19. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo nyenzo zoote alizokupa huyo Baba hazina maana yoyote! ndio maana hatuendelei kwa mawazo kama hayo.
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  Wewe umetoa mawazo gani hapa?? wabongo bana... Nilitegemea utupe sasa mawazo yatakayotufanya tuendelee na kumjibu mtoa hoja kuwa ingekuwa ni wewe ungefanyaje lakini cha ajabu unaishia kushambulia mawazo ya wenzio bila kutoa alternatives.

   
Loading...