sure mkuu. hata PK alivyoona muziki wetu kule Goma mwenyewe amenywea. mazungumzo ya kampala ni uthibitisho tosha[/
Watanzania siku hiki tunasifika kwa kupenda kulaumu. Kama hili lingetokea Tanzania bila shaka watu wangeanza kuhamasishwa kuandamana kutaka mkurugenzi wa uhamiaji arsesign
bongo tupo vizuri sana nashangaa wakenya wamewaacha mpaka siku tatu, jeshi la bongo tupe 1hour kazi imeisha uliza visiwa vya Commoro
[h=2]Raid and siege by federal authorities[/h] Main article: Waco siege
On February 28, 1993, the Bureau of Alcohol, Tobacco and Firearms (ATF) raided Mount Carmel Center. The raid resulted in the deaths of four agents and six Branch Davidians. Shortly after the initial raid, the FBI HRT (Hostage Rescue Team) took command of the federal operation, since the FBI has jurisdiction over incidents involving the deaths of federal agents. Contact was established with Koresh inside the compound. Communication over the next 51 days included telephone exchanges with various FBI negotiators.
As the standoff continued, Koresh, who was seriously injured by a gunshot wound, along with his closest male leaders negotiated delays, possibly so he could write religious documents he said he needed to complete before he surrendered. His conversations with the negotiators were dense with biblical imagery. The federal negotiators treated the situation as a hostage crisis. It should be noted that during the siege a two-hour video tape was sent out by the Branch Davidians in which the adults and older children/teens appeared to explain why they chose of their own free will to remain with Koresh.
The 51-day siege of Mount Carmel Center ended on April 19 when U.S. Attorney General Janet Reno approved recommendations of veteran FBI officials to proceed with a final assault in which the Branch Davidians were to be removed from their building by force. In the course of the assault, the church building caught on fire in circumstances that are still disputed. Barricaded inside the building, 76 Branch Davidians, including David Koresh, did not survive the fire; seventeen of these victims were children under the age of 17. According to the FBI, Steve Schneider, Koresh's right-hand man who "probably realized he was dealing with a fraud", shot and killed Koresh and then committed suicide with the same gun.[SUP][23][/SUP]
Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.
Umejidharau sana ... ni hisia za kivivu kuwaza kwamba kila kilicho chako hakifai ila cha wenzako
Ukweli Tz tungehangaika sana. meli zinazama tu tunaumbuka! hatuna mahusiano mazuri na mataifa yenye nguvu kama Israel. wenzetu wanaona mbali sana, Kama Us, UK, Germany, Japan, Russia, France, na nchi zingine zilizoendelea wanawatumia hawa jamaa sisi tuna ujanja gani? tindikali tu inatushinda.....
kwanza ukumbuke kuwa hiyo mall iliyoripuliwa inamilikiwa na waisraeli. waisraeli si watu hata kidogo na ni taifa lililolaaniwa na Mungu. ukijenga nao urafiki basi ujue laana ya Mungu itakuwa juu yako kama inavyotokea kenya, marekani na kwingineko? ndo maana Adolf Hitler alikuwa anawasweka kwenye gas chamber na kuwaangamiza
Huwa najiuliza waliingiaje maana kwa Kenya iwe supermarket au maeneo mengine ukipita mlangoni unakaguliwa na askari na lile li ubao unazunguushiwa sehemu mbalimbali za mwili, sasa sijui ilikuaje wakapita
As a human and my countryman ubarikiwe, You r right No justification ! I blv.too, FYI, You must know the mentalities of horn of Africans for centuries and hulka yao ilivyo no fear and DEATH to them is just like drink a glass of water !! Revenge kwao ni kama kuvuta sigara...they are living in a failure state Triblelism is dominated with ujangili na ukatili they don't think twice.!! Sasa hao tuje kuwapa choice ya Death ( dying in bed or battlefield or hunting) hapo walipo wameshajiamulia kufa since watokapo na wanajua kufa kwao ni sababu ya nini na kwa ajili ya nini!! Me and you can't teach them how to die!! Wameshindwa wababe wanaolisha ulimwengu wote, Kwa kuwa jengea roadmap na kuwasaidia from A to Z.... leo wajaali ya akina nani??? Hapo wanatimiza ahadi waliyo itoa na kukamilisha ONYO waliyo wapa jirani zao !! Honestly me na wewe tukae pembeni... I am afraid to be sucked into the game. Ask for safety.Israel wana mkono kwenye jengo husika, hawakuja kwa ajili ya kusaidia tu, kwa maslahi binafsi. Sisi hawaji kwa sababu tuko vizuri, tunaishi na majirani zetu safi kabisa.
kwanza lazima uadmit kuwa kitendo cha kushambuliwa kenya mara kwa mara na magaidi ni uthibitisho tosha kuwa vyombo vya usalama vya ndani vimeshindwa kukabiliana na matishio hayo. vyombo imara ni vile vinavyodhibiti matukio kabla hayajatokea kama wafanyavyo vyombo vyetu. tuvipongeze sana na tuvipe moyo
Jirani yako anaponyolewa, wewe tia maji kichwani mwako!!
Msemo wa kizamani, uliopitwa na wakati na wakijinga. Saluni gani siku izi inatumia maji kunyoa vipara?
Jana Kova pia kautumia kama kawaida yake kwenye press. Marekani na drone zao wamewashindwa magaidi.
wamesaidiwa na nchi za kigeni.,tanzania tungelipua jengo zima,serikali hii haijali watu wake,si unaona arusha walivyowalipua kwa bomu raia!!!
umekunywa viroba wewe
kwani lin tanzania hatukuwa wamoja yanapotokea majanga?kwa maoni yangu kilichotokea kenya ni ajali kama ilivyokuwa ajali iliyosababishwa na maghaidi marekani na dar es salaam miaka iliyopita. Hii ni athari ya ugaidi wa kimataifa ambao mataifa yote yenye ustaarabu duniani yanapaswa kuungana kupambana nao. Sio vita inayoweza kupiganwa na kenya peke yake.
Jambo moja ninalowasifu wakenya na ningependa watanzania tujifunze, ni kwamba panapotokea malanga makubwa kama haya tunapaswa kuwa kitu kimoja.
Umeshawahi kuwasikia 'Crisis Response Team (CRT) ya FFU inayofanana na Recce Company ya GSU Kenya? Usipende kuidharau sana Tanzania kwani nasi tupo ulimwenguni. Lazima utambue kitu kilichowaangusha Kenya ni kutokuwa na taarifa za kutosha za kijasusi au kutokupeana taarifa hizi kwa wakati kwa idara mbalimbali za usalama kitu ambacho chaweza kutokea popote ulimwenguni.Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.