Ingekuwa Tanzania tungeweza?

Ingekuwa Tanzania tungeweza?

Mkuu, sikubaliani na maneno yako hata kidogo. kuhusu arusha, ni ukweli ulio wazi kuwa chadema ndio walihusika kwa kumhonga Insp Daudi

wamuhonge halafu wamrekodi halafu waseme polisi wamehusika!!!!shrikisha ubongo wako na sio ma------,hili la arusha ccm hamtoki kama ishu ya mwangosi,caught with your dirty pants down.
 
Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.
Wenyewe wanajiita wajahidina nyie mnawaita magaidi. Wale hawakuwa magaidi bali waislamu wajahidina.
 
kwanza lazima uadmit kuwa kitendo cha kushambuliwa kenya mara kwa mara na magaidi ni uthibitisho tosha kuwa vyombo vya usalama vya ndani vimeshindwa kukabiliana na matishio hayo. vyombo imara ni vile vinavyodhibiti matukio kabla hayajatokea kama wafanyavyo vyombo vyetu. tuvipongeze sana na tuvipe moyo
Ndio maana vitendo vya kumwagiwa watu tindi kali zimekuwa ni kawaida pamoja na polisi kufyatua risasi za kutosha kwa raia wasiokuwa na silaha. Yote haya yanaonyesha umakini wa kujivunia...
 
Wewe siunaishi congo kaulize mziki wetu kwa m23 ndipo uje kuuliza swali hili.
unafikiri wastegate mall ipo msituni kongo eee?? usiombe yatokee sali sana mungu atusaidie wetu wangeishia kulipua jengo lote la mlimani city au quality centre! nakuuwa wote waliomo humo ndani
 
Magaidi bado wanashikilia mateka!!
Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.
 
bongo tupo vizuri sana nashangaa wakenya wamewaacha mpaka siku tatu, jeshi la bongo tupe 1hour kazi imeisha uliza visiwa vya Commoro
 
Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.

mkuu Tz ipo juu kwenye masuala ya kijeshi hlo nmeliona kwamacho yang. Vpo vikosi maalum vya uokoaji tena kama hii ya kenya ingetuchukua sk moja tu. Kitu cha kwanza nikuitambua raman ya nyumba hapo masniper, na wale wazee wa CRT wangemaliza kaz mapemaaa. Najua weng mmetekwa na migogoro ya kisiasa ndio maana mnaridharau jeshi lakn ipo sk itafika tu mtaujua umuhm wa jeshi la Tz tena naomba Mungu kinuke kabisa ili tujue na mwanaume na nani mwanamke
 
Ukweli Tz tungehangaika sana. meli zinazama tu tunaumbuka! hatuna mahusiano mazuri na mataifa yenye nguvu kama Israel. wenzetu wanaona mbali sana, Kama Us, UK, Germany, Japan, Russia, France, na nchi zingine zilizoendelea wanawatumia hawa jamaa sisi tuna ujanja gani? tindikali tu inatushinda.....

Ndiyo sababu alshababu hawana muda wa kutuvamia sisi. Hatufungamani na nchi hizo ulizozitaja hapo juu. Haswa Israel na nchi zingine za magharibi.
 
kwanza ukumbuke kuwa hiyo mall iliyoripuliwa inamilikiwa na waisraeli. waisraeli si watu hata kidogo na ni taifa lililolaaniwa na Mungu. ukijenga nao urafiki basi ujue laana ya Mungu itakuwa juu yako kama inavyotokea kenya, marekani na kwingineko? ndo maana Adolf Hitler alikuwa anawasweka kwenye gas chamber na kuwaangamiza

Inaeza kuwa uko sahihi manake mungu aliyeilaani Israel ni Shetani mwenyewe.
Mungu wa Israel amelibariki Taifa la Israel kuliko race nyingine yoyote duniani. Na imeandikwa atakayemgusa Israel aigusa mboni ya jicho la Mungu. Atakae ilaani Israel atalaaniwa yeye.
Ndiyo sababu mataifa yaliyogundua baraka za Mungu wa Israel yanaambatana nayo. Nayo yamebarikiwa kiasi cha kumwagika baraka hizo.
Yale yanayoilaani Israel tunashuhudia uharibifu mkubwa usioelezeka. Mauaji ya kutisha imekuwa ni kawaida yao. Laana ya Mungu wa Israel inawatafuna vizazi hadi vizazi.
 
ahh mmenikumbusha enzi ya mwalimu jkn alivyompiga nduli idi amin mpaka kumuondoa madarakani
sidhani kama jk ana uwezo huo
 
Kama tukio hili lingetokea tanzania sidhani kama lingechukua hata masaa sita kuwaua magaidi wote. Makomandoo wawili tu wangetosha kuendesha operation nzima ya uokozi.
 
Ukweli Tz tungehangaika sana. meli zinazama tu tunaumbuka! hatuna mahusiano mazuri na mataifa yenye nguvu kama Israel. wenzetu wanaona mbali sana, Kama Us, UK, Germany, Japan, Russia, France, na nchi zingine zilizoendelea wanawatumia hawa jamaa sisi tuna ujanja gani? tindikali tu inatushinda.....

Umejidharau sana ... ni hisia za kivivu kuwaza kwamba kila kilicho chako hakifai ila cha wenzako
 
Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.

Tanzania ina uwezo wa kuzima matokeo kabla hayajatokea.
 
Mleta uzi sina uhakika sana na uelewa wako kuhusu maswala ya kiusalama.
Tanzania sio nyepesi kijeshi kama unavyodhani,nikuhakikishie katika ukanda huu wa maziwa makuu Tanzania ipo juu sana.Tanzania isingechukua siku tatu kukabiliana na wajinga kama hawa.Siasa wekeni pembeni jadilini mambo ya msingi ya ulinzi na usalama wa nchi yetu

Mmezaliwa mapacha na Kamanda Kova maana naona akili yako na yake viko sawa!!
 
Ndiyo sababu alshababu hawana muda wa kutuvamia sisi. Hatufungamani na nchi hizo ulizozitaja hapo juu. Haswa Israel na nchi zingine za magharibi.

Wewe akili yako umeshikiwa? Na ubalozi wa USA uliolipuliwa Dar ulikuwa hujazaliwa?
 
Mungu amelibariki Taifa la Israel? Hawa hawa wasiomtambua Yesu hawa au wengine? Hawa hawa wanaotesa ndugu zao wakristo na wapalestina, waothordox wamelalamika sana kule Jerusalem kunyanyaswa na hawa hawa wateule wako hawa. Yesu mwenyewe hakuwa hivi.
 
Kwanza nawapa pole wakenya kwa yaliyowakuta, Hatimae operesheni imemalizika na magaidi wote wameuawa, hivi ingekuwa ndio magaidi wameteka jengo Tanzania, vyombo vyetu vinauwezo kwa kukabiliana na tukio gumu la kigaidi? Wataalam tujuzeni.

sisi tungepulizia gas ya usingizi jengo zima, wote wangelala, tungewakamata kama kuku wa kisasa a.k.a kuku wa kizungu.
 
Back
Top Bottom