Uchaguzi 2020 Ingekuwa katika Nchi za wenzetu, Nyalandu na wenzake wangejitoa na kumuachia Lissu

Uko sahihi physical fitness ni moja ya sifa za mgombea sababu anaenda kuwa amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama

Mfano adui akimlenga risasi walinzi wakimwambia piga magoti haraka kukwepa risasi inabidi awe na uwezo huo

Tundu Lisu uwezo wa kupiga magoti hana
 
Chama cha DEMOKRASIA Na Maendeleo-kinatakiwa kionyeshe demokrasia yake. Hivyo basi wote Nyalandu na Lissu wapambane, wasikilizwe na Chama kupitia mchakato wake watoe jina la mbeba bendera ya chama. Hakuna haja ya kuwa kama CCM ambao walikuwa na form1. Atakae amua kujitoa afanye hivyo kwa utashi wake na sio kwa kulazimishwa.
 
Ingekuwa Nchi za wenzetu kusingekuwa na mgombea mwingine yoyote wa urais, sabbu nyakati zinambeba John pombe Magufuli kwa mara nyingine tena anyway ndo demokrasia acha nao tuone wanavyokubarika katika Jamii lakini kifupi ni kufuja pesa za Walipa kodi bila sababu..
 
Ni haki yake kumwaga sera zake mbele ya wanachama. Huu ni mchakato wa kidemokrasia unaouzwa kwa sera. Acha atimize haki yake kikatiba.
 
We subiri demokrasia ichukue mkondo wake lazima demokrasia itatendeka mbona Mbowe alishajiondoa?
 
Magufuli nani kakudanganya kuwa anakubalika? Kwa mambo Yapi zaidi ya kupiga porojo kila uchwao?
 
Cha msingi kichwa kinafanya kazi na anatembea. Kuna mtu alishinda uraisi akiwa kwenye wheelchair. Hivyo mkuu sioni hoja yako.
Hayo ya nchi zingine Sio Tanzania waachieni wenyewe wakenya ambao walimpa kibaki kura akiwa kwenye wheel chair Baada ya kupingwa mkewe Luck Kibaki
 
Hapana mi naona wasijitoe mapema...game lipigwe live kura zijesabiwe then tucheki nani kawaburuza !!

Ili baada ya game timu ibaki moja..
 
Nyie jamaa vipi? Nyalandu si aliongoza kura za kamati kuu.

BTW: Mazingira yalivyo hata Lisu mwenyewe ungemshauri amuunge mkono Magufuli tu kama akina Mrema kwa hoja hiyo hiyo ya nyakati.

Au tayari mmechotwa na hiyo nyomi ya Airport?

Watu wamelipia form then wakachoma mafuta kutafuta wadhamini nchi nzima then mtu unaibuka na mshangao wa kichovu hivyo!!😁!
 
Tundu Lissu yupo fiti kuliko huyo Albashiri wenu muuaji nyapara wa barabara. Tena kiafya hata Lowasa ana nafuu kuliko hyo jamaa yenu. Ndio maana hapandi ndege wew lofa hujui chochote kaa kimyaa tuu.
 

Wewe unaangalia nyakati au Hela?
chezea waziri wa Vitalu nini?
 
Kwa hili inabidi nyalandu ajitathimini mapema kisha ajiondoe mwenyewe amuachie lisu, hatutaki sababu maana hamkawii kusema mbowe na genge lake wamenifanyia zengwe
 
Nakwambia Lisu kwa Magu anakanyagwa asbh kweupeee! Afadhari kidogo Member, yaani Lisu hapati hata asilimia 2 ya kura, take it from me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…