YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,911
- 51,889
Uko sahihi physical fitness ni moja ya sifa za mgombea sababu anaenda kuwa amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalamaWatamuachiaje m
Watamuachiaje mtu ambaye kiafya sio timamu hawezi kuinama wala kupiga magoti, kiuno kipo upande, mguu na mkono wa upande mmoja hauwezi kunyooka na kutembea kama kinyonga. Kwa hao wenzetu wanaoachiana wagombea kwa hiari yao wenyewe wanafanyiwa medical examination kuangalia afya zao kama wanaweza kuhimili misuko suko ya hizo nafasi. Isitoshe hata kwenye kuajiriwa kazini shurti upasi medical examination. Nakuomba umshauri mgombea wako ajitoe kwani physically ni unfit au kwa kistaarabu wanasena physically handicap au vipi ndugu yangu.
Mfano adui akimlenga risasi walinzi wakimwambia piga magoti haraka kukwepa risasi inabidi awe na uwezo huo
Tundu Lisu uwezo wa kupiga magoti hana