Yaani mpaka hapa nilipo nimeshika kichwa maanake siamini kama kwa pointi zako zinavyokuwaga umemwagiwa misifa hivyo!!!!mi hata sikubali mi naandamana,sio siri liwalo naliwe.Khaa! Huu ujiko ni lazima nishee na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uangalizi wa Kongosho. Hivi kumbe hata haya maposts ya ukrap kuna watu yanawavutaga?
Leo ntakunywa biya mpaka nipasuke wallah. Mara ya mwisho kupata maujiko kama haya wakati wa gradyuesheni ya fom foo. Baada ya kuutwika mtungi wa kutosha niliingia kwenye ukumbi wa disko nikatoa viti vyote nje. Masista duu wa Kibosho gelz tuliowaalika kukata mkonyonyo walicheza mziki mwanzo mwisho bila kupumzika. Wangekaa wapi?
Mkuu Ecoli ahsante kwa kunifolo, nami ntajitahidi kukufolo ila tu uniambie ni wapi tunatofautiana mitazamo ili nijirekebishemo. Najua ni mimi tu ntakuwa nakorofisha. Source: mwaJ, Blue G, Nyamayao, Zion Daughter, Mamndenyi, Dena Amsi , gfsonwin, snowhite na videmu vyoote vinavyopinga Infii.
Hehehehe! Ni vile huwajui wake zangu vizuri. Hapo Kongosho akiwapa maelekzo Yummy, cacico na BADILI TABIA namna ya kupia 5some siku walipokuja eapoti kunipokea baada ya kutokuwepo home kwa miezi mitatu. Ilinogaje?.Huo mzigo hapo Yummy na wenzake wameulegeza hadi umepoteza natural shape, ina maana bibi shemeji huwa anabembea hapo?
Ni kweli sikujui ila nakufolo kimtindo. Mwenyewe siumestukia? Mi si unanijua? kama hunijui acha nikuonyeshe picha yangu...Hahahahahahahah...babuuuuuuuu.....
samtaimz huwa nahisi kama unanifahamu kabisa yani..ni vile najipa moyo hunjui. Ungekuwa mod ningejua unani-follow kisecret...
Babu wala usijirekebishe bakia hivyo hivyo, unajua mimi ni gamba tokea babu hadi mjukuu. Ndipo tunapo hitalafiana ila nafurahia tofauti zetu.
Ila mambo kama haya?Mambo haya yanaifanya dunia inakuwa mahali si salama kuishi kwa male specie ya bin adam.
Si afadhali hao, na hawa je?
Hehehehe! Ni vile huwajui wake zangu vizuri. Hapo Kongosho akiwapa maelekzo Yummy, cacico na BADILI TABIA namna ya kupia 5some siku walipokuja eapoti kunipokea baada ya kutokuwepo home kwa miezi mitatu. Ilinogaje?.
Hayo ndo matamu ujue.....yanawapunguzia mastress. Sasa tunasheherekea wapi haya maujiko mume wetu? na unataka wakezo tuje tumevaa nini?weka na picha kwa msisitizo