Ingekuwa bongo wangesema ni bangi

Ingekuwa bongo wangesema ni bangi

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
330
Reaction score
1,244
CHAKUSHANGAZA
1000151948.jpg

Tukio hili lilitokea Januari 25, 1995 nchini Uingereza. Ni miaka 30 na miezi kadhsa sasa..

Eric Cantona alimpiga teke la flying kick shabiki aliyekuwa akitolea maneno machafu kila alipogusa mpira!
 
Na ndio tukio analolipenda sana kwenye maisha yake na Wala hajutii mwenyew anasema alimfundisha adabu shabiki wa watu
 
Back
Top Bottom