ingekuwa amri yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ingekuwa amri yangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drphone, Apr 23, 2010.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwa kweli kwa hizi kashifa zinazoendelea kwa mapadri ingekuwa ni amri yangu wote ambao wanataka upadri waasiwe na ihakikiwe mitarimbo imelala doro ndo asimikwe upadri mana hii ni aibu sana na hii michezo ata hapa itakuwa ilikuwepo na kama ilikuwepo ilifanyika kwa urahisi sana kwani wadanganyika ni waoga sana wangekaa kmya mapdri wangejisevia kwa kwenda mbele.
  mtazamo wangu kwa vile kunamasista kwa nn wasichukuane wenyewe kwa wenyewe wala isingekuwa na makelele
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mimi mtazamo wangu....wangeruhusiwa waoe/olewe kabisa ili kukata mzizi wa tamaa.
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kwani hiyo sheria imewekwa na watu au mungu?

  kama imewekwa na watu wanaweza kuibadili............kama imewekwa na mungu wao hawana uwezo wa kubadili
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi namuunga mkono mjumbe hapo juu. Kwamba Waruhusiwe waoe na waolewe kama ni masister. Hii ndo itasaidia kwani hata Mtume Paulo alisema. Mkiweza kukaa kama mimi kaeni la hamuwezi OENI kuliko kuwaka tamaa.
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ndio maana a Mungu huwa Amri na ya kanaisa huwa sheria tu....

  hata hivyo maisha ya utawa ni wito

  kama hujaitwa huko ndo maana kuna maisha ya ulei pia

  the choice is ones...............and wide
   
 6. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  a) Kwa Mamlaka yapi utakayotumia kuwahasi hawa watu?
  b) Hata ukiwahasi - utakuwa umetatua tatizo moja na umefungua jingine, suruhisho sahihi huwa ni kumaliza tatizo lililopo bila kutengeneza jingine.
  c) kuwaozesha na masista hutakuwa umetafuta suruhisho la kwanza na badala yake utakuwa umetengeneza jingine maana sasa kazi haitafanyika hapo karokiani - kazi itakuwa mapenzi tu.

  Tatizo kweli umelileta kwetu, lakini mapendekezo yako hayamalizi tatizo bila kutengeneza jingine.
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni kweli kabisa wazo lako ni zuri kuliko kuigiza maandiko ujue mm mtazamo wangu ulikuwa tofauti kabisa nilikujakushangaa kwamba wote wanakuwa ni marijali kabisa mm nilikuwa kinyume chake
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,440
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  Wamuanze

  ponsinyori pakajimmy kwanza.....
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wametoa kwenye bibilia mtume paulo ndo alisema kama mtu ataweza kukaa bila mke kama mm ni bora ila ilikuwa ni maoni yake wala si mungu.
  mungu yy anasema si vyema mtu kuwa peke yake,anaendelea zaidi kusema ale wake aliyepeke yake
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kabisa mkuu mana mtume paulo alitoa mtazamo wake
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ila wengi wamechagua awajaitwa ndo mana yanatokea tunayoona leo
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu nashukuru kwa maoni yako ndomana tupo hapa kuchangia japo ujatoa na ww maoni yako zaidi umejb hoja nasubiria hoja yako mkuu
   
 13. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aibu sana! mapadri wote kwa nini wasipelekwa kule mererani ila scan iwapitie kwani wana faida gani ya kutotoa! hiyo mashine iwapitia hawa tena iue kila kitu....wawe mitarimbo doro kabisa....wanatia aibu kwa sisi waumini wao wanatufundisha nini sasa! kila siku mapadri mapadri tumechoka..
   
 14. bht

  bht JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  this is it man..............!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mh mkuu inamana na yy ni.......... du god have mercy
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,440
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  tatizo mojja kubwa linalowakabili ndugu zetu waoga na awataki mkulikubali neno la mungu kwenye biblia wanataka lifwate wanavyotaka wao ndio maana kuna yule mzee mmoja alikuwa anawachapa sana neno la mungu wakaondoka wengi wakaawa wanasali wakashangaa wakatoliki how kamu miujiza inatokea mapepo yanatoka awakujua siri ya yule bwana .....nikumbushen kidogo mpaka wkaatangaza kutowaruhusu kula sakrament watu wake.....wananganagnia neno sehemu moja ukiwapeleka upande wa pili wanakuadhibu.....
  Shalom paka jimmy
   
 17. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani ni sawa kabisa kwasababu kinachowasumbua ni urijali wakishapoteza urijali amani itakuwepo kama itatokea tatizo basi watakuwa mashoga ambalo tayari wanalo hilo tatizo
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hii ipotezeee mkuu, imetoka thread nyingine huko huwezi kuelewa kitu

  tuendelee kujadili hoja a mezani before smthing else happens here plz..........
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  sasa watwajuaje waloitwa na walojiita?

  mtu mwanao kulawitiwa inauma baba .......hakuna anaetaka hii kitu....but solution naona halipatikani kwa urahisi.

  kanisa katoliki kuruhusu hii kitu ni ngumu
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  yani hapa tatizo watu ni wavivu wakusoma bibilia na katoliki unasomewa na kuomba anaomba padri tu kutubu unamtubia padri nyie kazi yenu kusema aaameeeen
   
Loading...