Ingekuaje "LIKES" zingethaminishwa kwa pesa..!??

Ingekuaje "LIKES" zingethaminishwa kwa pesa..!??

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
19,479
Reaction score
9,551
Both given and received, nadhani kuna watu wangekuwa matajiri wakubwa na wale mabahili wa ku like naamini wangekuwa maskini wa kutupwa...
wataje unaowajua. Naanza mimi
1. Mamndenyi angekuwa bonge la tajiri kwa likes given....

Endeleeni kuwaleta wengine....
 
Last edited by a moderator:
Baba V najua umeniona kama nilivyokuona wewe,
but ukiachia roho kuwa nyeupe unapata tu Mamndenyi natoa 'like' lakini nazidishiwa vitu vingi sana......Thank you God............

Back
Top Bottom