Mkuu kiwatengu wakinga kwa sasa wapo juu sana kariakoo, mpaka wachagga wanawakimbia kwa madai eti wanatumia dawa asili kufanya biashara, utawahurumia.
Mapembelo nye vakheenga vooni pa Dasalama!!
Mapembelo vavene, twakunyumba?
Ni vigumu sana kulinganisha kabila au jamii iliyoko nchi nzima na kila walipo wana nafasi kama si ya pili ni ya tatu kiuchumi ktk eneo husika na jamii inayokaa ilala tu tena kariakoo.
Wachaga wako kila mahali kuanzia Washington, London, Berlin .
Kwa tz ndio usiseme Kahama. Mwanza.Geita.Moro
wakinga what a hell....taja wachina ,waarabu na wahindi achana na hao wala mtori na wala mbwa
mi ni mmakonde pure, mkuu.
hebu niambie ni kwa kiasi gani ukabila unaingia hapo.
Mkuu kiwatengu wakinga kwa sasa wapo juu sana kariakoo, mpaka wachagga wanawakimbia kwa madai eti wanatumia dawa asili kufanya biashara, utawahurumia.
Dar ni ya Wanzanzibari
Mapembelo vavene, twakunyumba?
palipo na wahindi au waarabu hapaendelei..
Hivi jamani...mmeshafika Makete 'mjini'? Au hata miji ya karibu ya hao waKinga (Njombe, Makambako)...halafu mfananishe na Moshi mjini...au hata mfananishe Makete Mjini na kule kijijini kwetu Marangu, au Machame, au Kibosho etc! waChagga tunarudisha maendeleo kwetu..tuchukieni tu, lakini mti wenye matunda ndio unaotwangwa mawe..mtatutwanga sana mawe..kalagha'baho!