Ilitakiwa wamuue na bunduk hapo hapo juu ya mti ili kuepusha madhara makubwa yatakayojitokeza baadae
Hao nyani watakuwa wametumwa na upinzaniView attachment 1462764
Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19.
Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha nyani huyo akitafuna sampuli hizo na baadhi ya sehemu ya sampuli hizo zikiwa zimezagaa chini ya mti. Wakazi wa mji huo wamesemekana kuwa na wasi wasi kwamba tukio hilo linaweza kueneza ugonjwa huo zaidi katika mji huo.
Inasemekana mfanyakazi huyo ameambiwa ajieleze kwa maandishi kwa nini alirekodi video hiyo baadala ya kuomba msaada.
View attachment 1462767
India huyo ni mungu wa watu utaleta matatizo!Ilitakiwa wamuue na bunduk hapo hapo juu ya mti ili kuepusha madhara makubwa yatakayojitokeza baadae
Kuna siku walikula futari ambayo watu walikuwa wanamalizia kusali msikitini ili wapige msosi. Yaani Nyani waliwa-time waislam. Walichokifanya hawakuwapiga wala kuwafukuza, walienda kwenye temple ambayo mungu wao ni nyani kuwapa taarifa. Waumini wa mungu nyani walifurahi sana kuona mungu wao wanakula. Walilipa gharama ya msosi wote.Wanaabudu nyani sasa wamuuwe mungu wao