Jana mida gani JF ilipotea? maana mi mpaka sa kumi na mbili jioni nilikua online!!Hivi inawezekana JF kukawa na membaz ambao wako real willingly kutoa details zao?namaanisha kwamba no zao zikajulikana kwa mfano hili tatizo la Jf for these two daiz,mm niko tayari kutoa my no ili JF inapopata tatizo nitumiwe japo msg nijue na mm niwajulishe wenzangu pia?maana kama jana nimegombana na watu karibia wa 3 just because JF was not on Air,nikajua wamefunga,imebidid tu now nikaombe msamaha.
Mnaonaje wajameni?
Kwani nyie hamna namba ya MMK? yeye huwa anajua kinachojiri!
Jana mida gani JF ilipotea? maana mi mpaka sa kumi na mbili jioni nilikua online!!
Aligombana jana na watu kwa ajili ya tukio la juzi.May be!Jana mida gani JF ilipotea? maana mi mpaka sa kumi na mbili jioni nilikua online!!
Kwani nyie hamna namba ya MMK? yeye huwa anajua kinachojiri!
ha ha ha kwa kweli ndo maana jana nilishangaa member wote wametambaa nikajua mambo ya mgao hayo.......Dah poleni sana!!Meku hizo priority mlipata wachache, sisi toka saa tisa jana tulishindwa kulog in tukabaki kuchungulia tu kama wageni.....
na wewe najua kwa nini ulipata unafikiri ungekuwa mgombana unge-access??? subutu....
Kwani nyie hamna namba ya MMK? yeye huwa anajua kinachojiri!
ha ha ha kwa kweli ndo maana jana nilishangaa member wote wametambaa nikajua mambo ya mgao hayo.......Dah poleni sana!!
Mie nikajuwa Wapwaz group was Burned Completely msionekane katika uso wa JF
ooooh Nguli,Pakajimmy,Fidel80,Iribin,kaizer .Geoff ,Preta MJ1,Bht,Pearl,Charity na wengineo
Mnakuja kasi kama kimbuga cha......
we mods hawezi kutoa ban kwa watu wote hao....maana nilichake JF home page nikakuta current members walikua 31 tu..wakati kila siku wanakua zaidi ya 500..nikajua Tz mambo yameharibika!!asante....hahaaaa mbona hukuwazia ban??
we mods hawezi kutoa ban kwa watu wote hao....maana nilichake JF home page nikakuta current members walikua 31 tu..wakati kila siku wanakua zaidi ya 500..nikajua Tz mambo yameharibika!!
Tatizo lako huaminiki.Pearl anaogopa kujirisk kwa kukupa namba yake.Jisafishe kwanza.Dah pole sana Pearl kwa bahati mbaya sina namba yako ningependa kuwa nayo mm nitakuwa nakujuza hata saa 8 usiku kama huto jali.