Inawezekana??

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ntawezaje kupata kazi yenye
kudumisha utu wangu,
kuwatunza wazazi wangu, na
kuwasaidia ndg zangu wakati
sikubahati hata kumaliza elimu
yangu ya sekondari? Sina kazi
natafuta kazi help me plz kama
kuna mtu anaweza kuniwezesha
tuwasiliane kupitia simu namba
0685234854 tuma sms. Ahsante
 
au kama eneo linaruhusu jishughulishe na kilimo cha bustani, mboga mboga, mfano lima nyanya, mchicha, majani ya kunde, mnavu, hoho,biringanya na bamia, uuzie watu huku unaweka savings ya kuja kufungua biashara
 
tafuta mtaji hata kidogo tu uanzishe biashara...pia unaweza kwenda kozi fupi fupi kama ulinzi...kampuni za usafi..mapishi n.k...walau upate cheti kitakusaidia!
 
hee??hujamaliza elimu ya form 4??basi msingi au form one itakuwa ulisoma international,au umeenda tuition ya kizungu?maana mtu ambae hata form 4 hajamaliza au amesoma kwa shida santi kayumba,anaandika maneno ya kizungu?tena kwa kifupi??usitutanie wewe dogo,nimebaini vunga yako.
 
....true.....tumekushtukiaaaaa....byeeeee!!
 
hee??hujamaliza elimu ya form 4??basi msingi au form one itakuwa ulisoma international,au umeenda tuition ya kizungu?maana mtu ambae hata form 4 hajamaliza au amesoma kwa shida santi kayumba,anaandika maneno ya kizungu?tena kwa kifupi??usitutanie wewe dogo,nimebaini vunga yako.

nilikomea kdato cha 2 ndg.
 
tafuta mtaji hata kidogo tu uanzishe biashara...pia unaweza kwenda kozi fupi fupi kama ulinzi...kampuni za usafi..mapishi n.k...walau upate cheti kitakusaidia!

tatizo mazingira niliyoko ndg hzo plan huku ndoto, labda kuama kwanza mazingira haya.
 
au kama eneo linaruhusu jishughulishe na kilimo cha bustani, mboga mboga, mfano lima nyanya, mchicha, majani ya kunde, mnavu, hoho,biringanya na bamia, uuzie watu huku unaweka savings ya kuja kufungua biashara

tatizo ni eneo kwa ushauri wako haliruhusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom