Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 159
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa Vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
Si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na SMS 100 kwa wiki, lakini sasa anapata MB 500, dk 70 mitandao yote, 30 voda na sms 50 kwa wiki.
Kwa hali hii inamaana VODACOM wameigomea na kutotii maelekezo ya Serikali chini ya usimamizi wa TCRA?.
VODACOM tuhurumie watanzania wenzenu kwakweli mnatuboa na kutuumiza sana. Nafikiria kuiacha line ya VODACOM na kutafuta mtandao mwingine wenye unafuu kidogo.