Inawezekana vipi video za Millard Ayo ziko clear kuliko TBC?

Inaingia vipi akilini kuwa Television ya Taifa/TBC ambayo ina unlimited budget na resources za video zake zina kiza na mwingu lakini video zinazotolewa na huyu kijana Millard Ayo ambaye videos zake ni za Simu ya mkononi ni High Definition (HD) na ni ziko clear.

Mfano tazameni video ya TBC za bunge kwenye Youtube. Utadhani bado tuko kwenye miaka ya 1950's

Naomba waziri husika alifanyie kazi hili. Haya mambo ya sub standards na kuzugazuga hayana nafasi kwenye zama hizi

TBC pale ni sehemu ya watu kwenda kula kodi za wananchi hakuna jipya wanalofanya.

Wakitaka wasonge mbele wamrudishe Tido Mhando.
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.

Clouds hata wao ni chenga kuanzia kwenye audio hadi video naoma etv ya efm kawafunika
 
Ni gharama sn kutoka hapo walipo au uzembe tu wa kutokwenda na wakati?!
Its Dam Expensive ku transmit Full HD, hata DSTV wenyewe, kati ya chaneli zao 150, Full HD ni 20 tuu tena hizo 20 zote zinaonekana South, lakini kwa Tanzania Full HD ziko 10 tuu tena kwa watu wa premium.

Hizo za AYO harushi hewani bali anatumia YouTube, hata mimi programs zangu ninazorusha TBC quality ni Full HD ila TBC hawarushi Full HD hivyo naziweka YouTube.

P.
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.
Mkuu mbona kama umeisahau TV1?
 
Its Dam Expensive ku transmit Full HD, hata DSTV wenyewe, kati ya chaneli zao 150, Full HD ni 20 tuu tena hizo 20 zote zinaonekana South, lakini kwa Tanzania Full HD ziko 10 tuu tena kwa watu wa premium.

Hizo za AYO harushi hewani bali anatumia YouTube, hata mimi programs zangu ninazorusha TBC quality ni Full HD ila TBC hawarushi Full HD hivyo naziweka YouTube.

P.
YouTube channel yako inaitwaje na program zako zinahusu nini.
 
Its Dam Expensive ku transmit Full HD, hata DSTV wenyewe, kati ya chaneli zao 150, Full HD ni 20 tuu tena hizo 20 zote zinaonekana South, lakini kwa Tanzania Full HD ziko 10 tuu tena kwa watu wa premium.

Hizo za AYO harushi hewani bali anatumia YouTube, hata mimi programs zangu ninazorusha TBC quality ni Full HD ila TBC hawarushi Full HD hivyo naziweka YouTube.

P.
Naomba youtube channel yako chief
 
Tv unatumia chogo kuangalia TBC, ayo unatumia smartphone high resolution, what do you expect?, anyway TBC boresheni camera
 
Kwa mujibu wa king'amuzi changu ETV kwasasa inafunika wote
 
yes production ni HDV lakini TX ni DV!.

Tanzania full HD ni Azam Pekee.
P.
Mara nyingine tatizo si mitambo tatizo ni mafundi.

Kuna siku mimi na rafiki zangu tulileta bendi kutoka Jamaica kupiga muziki Diamond Jubilee.

Basi kibongobongo tulipata shida sana kupata vyombo.Mwisho tukapata vyombo.

Tulivyopata vyombo, tukawa hatujavijulia, tukawaita wataalamu wetu. Wataalamu wetu wakawa wanachemka, kila waki tune vyombo sauti mbovu sana, yani si sauti ya kupiga concert. Basi tukawa tunalaumu vyombo vichakavu.

Jamaa wamehangaika kama zaidi ya saa moja hawawezi ku tune vile vyombo.

Mara baada ya muda kidogo wakaja wapiga muziki wa Jamaica, wakawaangalia wale wabongo walivyohangaika na vile vyombo kwa dakika kadhaa.

Kisha wakawaomba vyombo wajaribu wao kufanya tuning na soundcheck.

Tukasema ngoja tuwaangalie na wao.

Jamaa katika dakika kumi tu wakatoa booonge la sound, vyombo vile vile vikatoa sauti nzuri kama ni vyombo tofauti.

Nikagundua mara nyingine mtu kujua kifaa chako inaweza kuwa muhimu kuliko hata kupata kifaa kipya kabisa.

Unaweza kuwa na kifaa kina teknolojia kubwa sana hujui kukitumia halafu mwingine ana kifa kina teknolojia ndogo anajua kukitumia, halafu mwenye teknolojia ndogo akakushinda.
 
Back
Top Bottom