Inawezekana vipi video za Millard Ayo ziko clear kuliko TBC?

Watangazaji wake tu wapo hovyo hawana ubunifu mbona wasiwe kama Kamuntu wa azam wapo utazan wanarusha matangazo ya msiba wa Baba wa taifa.
 
Nina miaka miwili TBC siwezi angalia hata kipindi kimoja. Hawanishawishi hata kidogo toka kipindi cha kampeni naona kichefuchefu tu. Ptuuuuuuu...!!
mie king'amuzi cha azam kikiisha wanakata na kuacha TBC pekee ,huwa hata siwashi tv bora nisiangalie yv kuliko kutizama TBC
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.
Sio kweli
 
Inaingia vipi akilini kuwa Television ya Taifa/TBC ambayo ina unlimited budget na resources za video zake zina kiza na mwingu lakini video zinazotolewa na huyu kijana Millard Ayo ambaye videos zake ni za Simu ya mkononi ni High Definition (HD) na ni ziko clear.

Mfano tazameni video ya TBC za bunge kwenye Youtube. Utadhani bado tuko kwenye miaka ya 1950's

Naomba waziri husika alifanyie kazi hili. Haya mambo ya sub standards na kuzugazuga hayana nafasi kwenye zama hizi

so you want to make the corpse walk?
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.
natamani ungetuwekea na cost/ price elekezi ya tech hizo ili tujue wa kumlaumu, hakuna sababu ya M A ku adopt proper tech harafu TBC ishindwe
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.
Mtoe clouds hapo kwenye HD, muweke TVE, majay amewekeza sana hapo muonekano wa station yake wakushindana nae ni azam pekee, hivo katika hyo list yako Azam anapaswa kutembea na TVE.
 
Pia haya matv yetu ya kisasa naona yanachangia kuona hizo channel kichefuchefu, maana kuna wakati ukitazama TBC na Channel 10 basi hadi kichwa kinauma
Hahaha uko right mkuu, ni sawa sawa na umepaka rangi yako nyumba hovyo hovyo alafu ukaweka Yale mataa makubwa ya kufanyia shooting lazima michirizi yootee ionekane
 
Mtoe clouds hapo kwenye HD, muweke TVE, majay amewekeza sana hapo muonekano wa station yake wakushindana nae ni azam pekee, hivo katika hyo list yako Azam anapaswa kutembea na TVE.
hapa kuna vitu viwili, uwezo wa kutangaza HD na muonekano wa HD. Hizo HD nazo ziko kuanzia 720p, 1080p na 1080i. Mimi napeleka programme zangu huko kote japo TVE bado. Ukipeleka kipindi TBC Full HD ya 1080i unachemsha. Clouds wana rusha 720p wakati Azam na TVE ni HD 1080p. Wenye full HD 1080i ni DSTV tuu tena kati ya chaneli zao 150, chaneli 20 tuu ndio Full HD.
Kwa vile situmii Azam ila najua Production yao ni Full HD 1080i, na nadhani wana hadi UHD ambayo ni 4K kwenye production ila kurusha ni HD 1080p sijui kama wana chaneli ya Full HD.

Paskali
 
YouTube inapokea video kwa original codec ile ile uliyorekodia mwanzo.

hata kama ina-compress basi compression yake huwa ni kwa asilimia ndogo sana.hiyo ndio sababu ya kuwa na ung'aavu mzuri wa picha za watu kama akina Millard ayo.

na hiyo ndio advantage kubwa ya online tv.

kwa upande wa tv ni ngumu kwani kuna wakati wanalazimika kushusha ubora wa video ili urushaji wake uendane na mahitaji ya vifaa vya tv husika.
Mbona mavx kila toleo wananunua kuboresha mitambo ndo hawawezi long leave Dstv
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.
Asante kwa ufafanuzi.. Lakini mbona quality ya muonekano wa ITV ni nzuri kuliko ya TBC?
 
Duuh kumbe ITV Bado wanatumia DV TX?
Zaidi ya 70 percent ya watanzanzania wanauwezo wa kupokea matangazo kwa TV zao ambazo zinaspecifications za SD ambazo ndo hizo dv lakini brocasters wengi wanauwezo wa kurusha kwa HD kwa mfano Star Tv ni SD lakini kwenye kingamuzi chao cha Continental channel zao ni H264 mp4 HD ya 720 ambayo star Tv pia ingeweza lakini raia wangepata changamoto, hukuongelea miladayo yeye platform yake ni YouTube ambayo mpaka sasa inaruhusu watu kuupload mpaka 4K, kwa hiyo ni yeye kazi yake ni karekodi tu mpaka sasa karibu smart phone zote zina uwezo wa HD zingine mpaka 4K huku camera zake anazo tumia ni DSLR ambao zinauwezo wa Full HD, kwa Hivyo si kwamba anauwezo mkumbwa kushinda wao, ila sifa Ipo Kwenye kazi yake ya ukusanyaji wa habari na kuweza kuwapatia watu on Demand Yani mtu akitaka habari kutoka kwake anaipata kwa mda anaotaka na kwa uharaka sana sio lazima kusubiri saa mbili usiku.
 
Its Dam Expensive ku transmit Full HD, hata DSTV wenyewe, kati ya chaneli zao 150, Full HD ni 20 tuu tena hizo 20 zote zinaonekana South, lakini kwa Tanzania Full HD ziko 10 tuu tena kwa watu wa premium
Hizo za AYO harushi hewani bali anatumia YouTube, hata mimi programs zangu ninazorusha TBC quality ni Full HD ila TBC hawarushi Full HD hivyo naziweka YouTube
P.
Kingamuzi Kama continental kina platform ya HD unachosema ni kweli inakua pia ni expesive kurusha channel nyingi kwa HD zinakula bandwidth kubwa hivyo utalipa zaidi kwenye saterite Mwenyewe Natengeneza vipindi full HD lakini narusha star TV Katika SD but YouTube Kipo Full HD (kilimobiashara program)

.
 
Back
Top Bottom