Inawezekana vipi video za Millard Ayo ziko clear kuliko TBC?

YouTube inapokea video kwa original codec ile ile uliyorekodia mwanzo.

hata kama ina-compress basi compression yake huwa ni kwa asilimia ndogo sana.hiyo ndio sababu ya kuwa na ung'aavu mzuri wa picha za watu kama akina Millard ayo.

na hiyo ndio advantage kubwa ya online tv.

kwa upande wa tv ni ngumu kwani kuna wakati wanalazimika kushusha ubora wa video ili urushaji wake uendane na mahitaji ya vifaa vya tv husika.
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.
Bora umejitetea hapo mwisho
 
Gharama za HD ni kiasi gani?

Ahsante kwa ufafanuzi
 
Its Dam Expensive ku transmit Full HD, hata DSTV wenyewe, kati ya chaneli zao 150, Full HD ni 20 tuu tena hizo 20 zote zinaonekana South, lakini kwa Tanzania Full HD ziko 10 tuu tena kwa watu wa premium.

Hizo za AYO harushi hewani bali anatumia YouTube, hata mimi programs zangu ninazorusha TBC quality ni Full HD ila TBC hawarushi Full HD hivyo naziweka YouTube.

P.

Pascal.
Hongera ! Naona una clips chache sana YouTube ongeza kuzitupia kwa uharaka zaidi , angalizo punguza ''kila kitu'' kumpa credit JPM.

MKUTANO WA 10 CENTRAL CORRIDOR WAIPONGEZA TANZANIA, WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

Source: Pascal Mayalla
 
Inaingia vipi akilini kuwa Television ya Taifa/TBC ambayo ina unlimited budget na resources za video zake zina kiza na mwingu lakini video zinazotolewa na huyu kijana Millard Ayo ambaye videos zake ni za Simu ya mkononi ni High Definition (HD) na ni ziko clear.

Mfano tazameni video ya TBC za bunge kwenye Youtube. Utadhani bado tuko kwenye miaka ya 1950's

Naomba waziri husika alifanyie kazi hili. Haya mambo ya sub standards na kuzugazuga hayana nafasi kwenye zama hizi

TV ya taifa ilipaswa kuwa ni the best lakina cha kushanga ni ina ubashitenism hata redio zenyewe bashitenic ile TBC international ya kungereza dar kwenyewe tu inakoroma kama nguruwe hata kibaha tu haifiki
 
Mkuu Post Truth, uko right, TBC ndio TV ya kwanza nchini Tanzania kutumia technolojia ya DV, (Digital Video), wakati TV nyingine zote zikitumia VHS. Japo TBC ilikuwa ikitumia DV Signal, ila transmiter yake ilikuwa Analog.

Baadae vituo vingine vikaingia kwenye DV kwa kununua TX za DV lakini TBC nayo ikanunua TX ya DV. Technology ikachange kwenda kwenye HDV, TV zote zikahamia kwenye HDV lakini TX ya TBC, ITV na Star TV bado ni DV, Clouds na EA TV ndio HDV. Azam TV ndio ameingia na Full HDV na TX yake ni Full HD

Kwa sasa technology ni 4K kwa kutumia UHDV, Bara la Afrika sisi bado, the Best signals za TV kwa Tanzania zinaongozwa na Full HD za DSTV channels za Super Sport, zikifuatia na Azam, ambayo ni HD, Clouds na Eatv ni HDV, ITV, TBC, Star TV na Channel Ten bado wanatumia DV tx.

Dogo Millard AYO anatumia Full HD!.

NB. Mimi ni Broadcast Journalist, taarifa hizi ni kwa mujibu wa reception yangu na sio specification toka vituo vyenyewe!.

Paskali.
yes production ni HDV lakini TX ni DV!.

Tanzania full HD ni Azam Pekee.
P.
TBC wanatia aibu, kwa kipindi hiki cha ushindani wa vyombo vya habari wakajipange upya!
 
Back
Top Bottom