Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
- Thread starter
- #181
It's very simple nchi ina Katiba na Sheria.Naomba kujazia.
1. CS ndo anaratibu ziara za viongozi wakuu. So inawezekana ziara ya VP ilikuwa kumweka out of the loop.
2. CDF hakujulishwa, alishuhudia kama ulimfuatlia vizuri.
3. Kuna watu walitaka kupindisha katiba kwa kuonesha VP akiwa hayupo basi Speaker may assume authority. Waliotakiwa kusimamia kuhakikisha katiba inafuatwa ni CS.
4. Maamuzi ya kuhakikisha katiba inafuatwa ni ya CDF kwani inaonekana kulishakuwa na mta
Ndo mana kuna Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Kipindi Rais anaumwa the first to be consulted alipaswa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoe muongozo.
Hii nchi inaendeshwa sana kwa utashi wa watu na ndo mana yanakwenda hovyo