Samia sasa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,752
Reaction score
15,442
Huyu Mama saa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri. Polepole na Nchimbi ni mfano wa hizo nyanya. Kwasasa anafurahia kwamba yupo kapuni lakini hajui kwamba anaenda kutupwa sio yeye tu bali na ndugu zake , machawa wake na hata wale wazuri.

Ni miaka mitatu sasa nyanya hii inaendelea kuaribu zingine. Nyanya ilikuwa nzuri sana 2021-2022 lakini sasa imeoza na ni ya kutupa
 
Acha aendelee huko huko, bila kujua anapotea njia
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom