Nilipata kusikia kuwa katika nchi moja ya jirani, Raisi wake akilindwa na majeshi ya nchi nyingine, ilihali hakukuwa na vita, machafuko wala mapinduzi yoyote.
Nikapata shauku ya kujua inawezekana Raisi aliyechaguliwa kikatiba akalindwa na majeshi ya nchi nyingine na isilete ukakasi nchini mwake? Kisheria na kiutawala wa nchi (sovereignty) hii iko sawa? Justification yake ikoje labda?
Wataalam wa sheria na sayansi ya siasa embu tusaidieni hapa.