Inawezekana Raisi wa nchi aliyechaguliwa kidemokrasia akalindwa na majeshi ya kigeni?

jamaa waongo sana hawa, tupe ukweli mkuu kwa majina na sehemu wanazotoka walinzi wote wa jumba jeupe. tumalize utata leo
nchi kama TZ kuhusishwa na jeshi la kigeni wakati kuwa miongoni mwa majeshi bora afrika tuambieni nyie Lumumba pale wanafanya nini hao wanyarwanda??
 
Ni upumbavu tu ilitakiwa uulize inakuwaje vyombo vya suala vya tanzania kwa nini vimetapakaa eneo lote la nchi za maziwa makuu hususan Rwanda congo burundi malawi Uganda kenya siyo sana kwa sasa wamepenyezwa mpaka south Sudan
nchi kama TZ kuhusishwa na jeshi la kigeni wakati kuwa miongoni mwa majeshi bora afrika tuambieni nyie Lumumba pale wanafanya nini hao wanyarwanda??
 
Nimewahi sikia Tz tulikuwa tunamlinda Baba yake Joseph Kabila,baada ya mambo fulani kutokwenda wakarudi Tz,na jamaa akauwawa Baada ya muda mtupu,hili la vitoto vya Rwanda kmlinda JPM Nadhani ni propaganda za Siasa tu
 
Ulipata kusikia?

Na mimi nilipata kusikia yule sio baba yako ilihali mama yako alipewa kila kitu na baba yako mpaka Nyumba, Biashara na Magali
Nilipata kusikia kuwa katika nchi moja ya jirani, Raisi wake akilindwa na majeshi ya nchi nyingine, ilihali hakukuwa na vita, machafuko wala mapinduzi yoyote.

Nikapata shauku ya kujua inawezekana Raisi aliyechaguliwa kikatiba akalindwa na majeshi ya nchi nyingine na isilete ukakasi nchini mwake? Kisheria na kiutawala wa nchi (sovereignty) hii iko sawa? Justification yake ikoje labda?

Wataalam wa sheria na sayansi ya siasa embu tusaidieni hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza ukiona raisi anaye taja walio mpigia kura kila anapo hutubia watu juwa huyo raisi hakuchanguliwa na watu bali na vyombo vya ulinzi. Raisi aliye changuliwa na watu kihalali huwa anashukuru walio mchagua mara moja na baada ya hapo anabadilika anakuwa raisi wa wananchi wote tena anajitahidi kushwawishi ambao hawakumpigia kura kwakufanya mazuri mgigi zaidi.kwa sababu ukisha kuwa raisi, kazi yako kubwa ni kuunganisha wananchi kuwa na mashikamano, pamoja na kuwa na imani na serikali yako,kwa vitendo vya haki bila upendeleo. kwa bahati mbaya sana maraisi ambao walichanguliwa kwa kura za kuiba au za kutisha watu ili wakupigia kura kwa kuogopa mala nyingi maraisi wa aina hiyo hutawala kwa visasi na huishia kudumaza Mataifa yao kama mataifa hayo hayana taasisi imara za kuwadhibiti. mfano marekani kama marekani lsinge kuwa na taasisi imara na zinazo jitegemea katinka kufanya kazi zake, marikani chini ya utawala wa Trump ingeteteleka vibaya sana. mfano mwingine kiongozi aliye shinda uchaguzi kwa kura za wizi na akaishia kuliagamiza taifa lake ni Mgabwe wa Zibambwe. kipindi chake cha mwisho alishidwa vibaya sana na mpizani wake lakni akalazimisha ushidi kwa kutmia majeshi lakini tangu kipindi hiko Zimbabwe ilianza kudidimia hadi Leo hali ni baya sana, na hat huu uchaguzi ulio pita nao ulikuwa sio wa haki hivyo hali itazidi kuwa baya chini mwanagagwa. paka pale wazibabwe watakapo pata raisi aliye chaguliwa na wananchi wenyewe bila wizi wa kura.mifano ni migi sana na weza kuitao mpaka kesho na bado nisimalize ila goja ni malize na mfano wa ajira yetu Burundi burudi baada yakuondo utawala wa watusi wachachi kwa njia ya kidmocracia uchumi wake uljpaa kwa kasi ya ajabu mpa watazania wa mipakani walikuwa wanaenda burudi kutafuta kazi. lakini Leo ukiona Burundi utawaonea huruma warundi ufumala walio sababishiwa na Nkurunziza.
 
Zenji sio nchi, na rais wake hakuchaguliwa na Wa zenj pekee. Itakua unawazia Nchi ya Kusadikika kule kwa Shaaban Robert ww
 
Nilipata kusikia kuwa katika nchi moja ya jirani, Raisi wake akilindwa na majeshi ya nchi nyingine, ilihali hakukuwa na vita, machafuko wala mapinduzi yoyote.

Nikapata shauku ya kujua inawezekana Raisi aliyechaguliwa kikatiba akalindwa na majeshi ya nchi nyingine na isilete ukakasi nchini mwake? Kisheria na kiutawala wa nchi (sovereignty) hii iko sawa? Justification yake ikoje labda?

Wataalam wa sheria na sayansi ya siasa embu tusaidieni hapa.
Tafsiri yake ni kwamba huyo rais hakushinda kihalali bali kwa wizi wa kura
 
Ukitaka kuamini njemba zipo jifañyishe kosa fanya unakatiza pale utasikia rafudhi zao
 
Back
Top Bottom