Inawezekana Raisi wa nchi aliyechaguliwa kidemokrasia akalindwa na majeshi ya kigeni?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Nilipata kusikia kuwa katika nchi moja ya jirani, Raisi wake akilindwa na majeshi ya nchi nyingine, ilihali hakukuwa na vita, machafuko wala mapinduzi yoyote.

Nikapata shauku ya kujua inawezekana Raisi aliyechaguliwa kikatiba akalindwa na majeshi ya nchi nyingine na isilete ukakasi nchini mwake? Kisheria na kiutawala wa nchi (sovereignty) hii iko sawa? Justification yake ikoje labda?

Wataalam wa sheria na sayansi ya siasa embu tusaidieni hapa.
 
Ungeitaja nchi yenyewe kwanza ili tupitie katiba yake inasemaje kuhusu hilo kinyume na hapo zitakuwa ni story za kusadikika.
 
jamaa waongo sana hawa, tupe ukweli mkuu kwa majina na sehemu wanazotoka walinzi wote wa jumba jeupe. tumalize utata leo
Nani akupe majina ya walinzi wa nchi wewe endelea kuamini porojo za vijiweni ila wenye uelewa mkuu wa siasa za maziwa makuu na tulioshuhudia migogoro ya baadhi ya nchi za maziwa makuu tunakuambia hatujafikia hiyo ya kuwekewa pandikizi tena na nchi kama Rwanda
 
mzalendo ambaye hayaamini majeshi yake, labda uzalendo wake ni kwa hiyo nchi ya jirani. Sijui usalama wa hiyo 'hypothetical' nchi ukoje kama namba moja wao amezungukwa na askari wa kigeni, kuna siri za nchi kweli hapo? if the accusations are true i mean.
 
Nani akupe majina ya walinzi wa nchi wewe endelea kuamini porojo za vijiweni ila wenye uelewa mkuu wa siasa za maziwa makuu na tulioshuhudia migogoro ya baadhi ya nchi za maziwa makuu tunakuambia hatujafikia hiyo ya kuwekewa pandikizi tena na nchi kama Rwanda
Unazijua akili za huyo unayemtetea lakini?! Ni sifuri, mshauri wake mkuu ni Bashite. Yaani vipofu......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom