Inawezekana mavazi ya wanawake ikawa chanjo cha ajali??


Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
3,738
Points
1,225
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
3,738 1,225
chanzo cha ajali picture.jpg
Je wadau mnakubaliana na hili tangazo linavyosema? hebu cheki hivyo vivazi vya akina lara 1 na wenzake
unaweza kupita hivihivi kweli bila kugeuza shingo??
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,159
Points
2,000
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,159 2,000
Ni kweli kabisa!!!
 
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
10,751
Points
0
A

Ave Ave Maria

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
10,751 0
Mshika mbili . . . . . . .
 
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
3,738
Points
1,225
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
3,738 1,225
tumewalazimisha mtuangalie......?
hahahaha hayo mavazi na maumbile yenu ndio yanalazimisha majicho yaangalie..... si unajua macho hayana pazia
 
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
3,738
Points
1,225
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
3,738 1,225
safi sana mkuu Mtambuzi shukrani naona inaonekana vizuri sasa, sema mkuu utaweza kupita bila kugeuka japo kusafisha majicho??
 

Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,928
Top