Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,291
Tanzania haihitaji wazungumzaji inahitaji watendaji
Una maana watendaji ambao wanatuibia

Huyu ndio Mwigamba anayeleta mgogoro makao makuu?
ndiye yeye aliyeleta mgogoro pale makao makuu ya polisi kufuatia ule waraka wake juu ya umbumbumbu wa polisi wetu
Kwa mujibu wa katiba ya nchi kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake ili mradi havunji sheria!
Kumbe hata Marasi waliopita Mawazri wao walikuwa wakifanya madudu? Kumbe tofauti kati ya JK na Marais walimtangulia ni kuchelewa kuchukua hatua? Binafsi naona JK ni bora kuliko waliomtangulia kwa sababu kwanza anaona, anatafakari, anajiridhisha na kuchukua hatua. Lakini pia Mwigamba hakusema iliwachukua muda gani Marais waliotangulia kuwachukulia hatua mawaziri wake. Naona kama bwana Mwigamba ana chuki zake binafsi na Serikali ya Jk na hana jipya kabisa. Kama kiongozi, huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kuchukua hatua kama ambavyo Mwandishi wa habari anavyofanyakazi ya kuandika kile alichokisia kabla hata hajakifanyia kazi na kujiridhisha na uhalali wake.
Una maana watendaji ambao wanatuibia
Nina maana ni yule mwigamba mwizi wa fedha pale makao makuu ya chadema?
Kalamu yake haina faida kama aliitumia kuchota fedha ofisi za chadema.
Hapo ndipo nikasema hivi sasa Watanzania tunahitaji watendaji sio wazungumzaji ama kwa kalamu au mdomo.
Acha kupotosha maandiko,Mungu ndiye aliyemtuma Samwel amtie mafuta Sauli kwa ajili ya kuwaongoza watu wake,Mwigamba Mungu hakuwachagulia Israel mfalme bali aliwaacha wafuate mawazo yao ya kuwa na mfalme kama mataifa meingine.Israel hapakuwa na mfalme bali Mungu mwenyewe alikuwa akiwaongoza Israel kupitia watumishi wake kama akina Samuel. Mungu hajipingi mtu wa Mungu atakuwa anaonekana ( mtawatmbua kwa matunda yao).