Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

Kumbukumbu zako ni za ovyo kabisa hajawahi kutamka hivyo hayo ni yako na usiwalishe watumishi wa mungu walotukuka kama pengo, kajitathmini upya uje na adishi la kweli
Kila nikifikiria napatwa na wasiwasi huyu mtumishi wa mungu ambaye nimemwamini miongo na miongo asije chomwa moto nikiwa nakula maziwa na asalli pale ikulu ya mbinguni. Alisema JK ni chaguo la MUNGU, ni wakati tukataka kujua MUNGU yupi maana sasa ni wazi mungu wake huyo sio mungu ambaye watanzania wote wamemfahamu tangu kutokea hapa duniani.

Kwa dhati ni vema nichukue fursa hii kukuomba ukiri mbele za watu kama ulivyotamka wakati ule mbele za watu na hivyo kuendelea kuwashawishi wamwage kura kwa Shetn, kuwa, wakati unaongea na mungu shetani alipita na kukuchanganya kidogo ukatamka maneno kama yale, unajua maneno kama yale leo yana gharimu taifa, na kwa kiongozi wa dini kama wewe sio vema kukaa kimya pale unapokuwa umekosea, ni wazi mmetufundisha kuwa lazima kutubu, tena unatubu mbele ya mtu ambaye anamwakilisha mungu at that time. sasa kanusha usemi wako amani na heshima idumu. Do you still believe JK ni chaguo la mungu??? au ulichanganya madesa mkuu wa dini yangu???

Nawasilisha
 
M4C iz now, CHADEMA juuu! Kinachonisikitisha, vijana wengi bado wana ndoto za CCM, wakati CCM wameshashindwa!
 
Ninachojiuliza, hivi wanachama na mashabiki wa CCM, hawaoni mapungufu makubwa yaliyomo humo? Maana hata kpf anayaona!
 
Ndio ni chaguo la Mwenyezi Mungu. Kwani kila amualo Mweyezi Mungu linakusidi hakika na kupitia JK tumejua ikulu si mahali pa mchezo mchezo, mafisadi yanaelekea ukingoni,ccm imeonyesha wazi imezeeka na haiwezi tena kuongoza mana nivurugu na aibu tupu tuliyonayo watanzania sasa,na ccm inajituoa akili eti haijui kwanini tanzania ni maskini! bure kabisa. Hakika Jakaya Kikwete ni chaguo la Mungu. Tujifunze, Mwenyezi Mungu hakosei.
 
Askofu Kilaini Aliwahi Kumtaja Rais Kikwete Ndiye Chaguo La Mungu. Mambo Yanayotendwa Na Serikali Yake Yamesababisha Wananchi Kuzinduka Na Kuanza Kuchukua Hatua Za Kujikomboa.Mfano Wa Mambo Hayo, 1.Epa 2.Escrow 3.Msako Wa Majangili Uliopelekea Raia Kuuliwa Hovyo 4.Vipigo Vinavyofanywa Kwa Raia Na Polisi.Mfano Huko Iringa Polis Wameua Mama Muuza Pombe Za Kienyeji Tukio Ambalo Wananchi Wamelipa Kisasi. 5. Utekaji Raia,kiongozi Wa Madaktari,kibanda Na Kiongozi Wa JKT Ni Baadhi Ya Mambo Yaliyopelekea Raia Kujawa Na Hasira Juu Ya C.C.M Na KUAMUA KUJIUNGA NA CHADEMA.BILA HAYO MATUKIO CHADEMA WASINGEPATA NGUVU KIASI HICHO. NA NDIYO MAANA MBOWE AMEMSHUKURU RAIS KIKWETE MAANA BILA RAIS KIKWETE HAYA YASINGETOKEA.Hakika Askofu Kilaini Ni Askofu Mwenye Kuona Mbali Japo Sisi Hatukumwelewa. Leo Tanzania Inaenda Kuongozwa Na Ukawa Badala Ya C.C.M Kama Sk Zote.Angalia Matokeo Ya Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa.Haya Angalia Wale Vijana 300 Walokosa Ajira Na Viongozi Wao Kukamatwa Unadhani Hao Wataendelea Kuw Wanachama Wa C.C.M?
 
Back
Top Bottom