Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

Kwa mujibu wa katiba ya nchi kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake ili mradi havunji sheria!

Nina kiu tu ya kufahamu.

Nataka tu kujua kama huyu ni yule Mwigamba aliyepatikana na tuhuma za kutumia vibaya ofisi ya uhasibu Makao makuu ya chadema na kufutwa kazi hiyo na Dk. Slaa.

Jibu ni jepesi kwa wanaofahamu.........jibu ndio au hapana,
 
Kumbe hata Marasi waliopita Mawazri wao walikuwa wakifanya madudu? Kumbe tofauti kati ya JK na Marais walimtangulia ni kuchelewa kuchukua hatua? Binafsi naona JK ni bora kuliko waliomtangulia kwa sababu kwanza anaona, anatafakari, anajiridhisha na kuchukua hatua. Lakini pia Mwigamba hakusema iliwachukua muda gani Marais waliotangulia kuwachukulia hatua mawaziri wake. Naona kama bwana Mwigamba ana chuki zake binafsi na Serikali ya Jk na hana jipya kabisa. Kama kiongozi, huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kuchukua hatua kama ambavyo Mwandishi wa habari anavyofanyakazi ya kuandika kile alichokisia kabla hata hajakifanyia kazi na kujiridhisha na uhalali wake.

KENGEMUMAVI SI KENGEMUMAJI hayo ni marekebisho pengine yanawza kuboost IQ yako, Ha ha ha ama kweli kwenye msafara wa mamba na kengemumavi hawakosi. KIACHE KICHWA CHA MWIGAMBA, HICHO KICHWA NI INTEL CORE i7 QUAD processor.
 
Una maana watendaji ambao wanatuibia

Nina maana ni yule mwigamba mwizi wa fedha pale makao makuu ya chadema?

Kalamu yake haina faida kama aliitumia kuchota fedha ofisi za chadema.

Hapo ndipo nikasema hivi sasa Watanzania tunahitaji watendaji sio wazungumzaji ama kwa kalamu au mdomo.
 
Mwigamba Mungu hakuwachagulia Israel mfalme bali aliwaacha wafuate mawazo yao ya kuwa na mfalme kama mataifa meingine.Israel hapakuwa na mfalme bali Mungu mwenyewe alikuwa akiwaongoza Israel kupitia watumishi wake kama akina Samuel. Mungu hajipingi mtu wa Mungu atakuwa anaonekana ( mtawatmbua kwa matunda yao).
 
Kama chama kinachoongoza serikali kingekuwa na utendaji wa hata asilia moja tu, mwigamba angekamatwa kwa tuhuma zako unazotoa hapa. Maana hapo kwenye nyekundu enzi zetu lilikuwa kosa la jinai dhidi ya jamhuri. Nina maana kingewakomalia watendaji wa serikali kwa kudhibiti uhalifu po pote pale unapotokea. LAKINI KUNA SABABU KWA NINI WANASHINDWA KUFANYA HIVYO KWA MAANA MWIZI AKIMKAMATA MWIZI KESI HAIISHII HAPO.
 
Mwigamba Mungu hakuwachagulia Israel mfalme bali aliwaacha wafuate mawazo yao ya kuwa na mfalme kama mataifa meingine.Israel hapakuwa na mfalme bali Mungu mwenyewe alikuwa akiwaongoza Israel kupitia watumishi wake kama akina Samuel. Mungu hajipingi mtu wa Mungu atakuwa anaonekana ( mtawatmbua kwa matunda yao).
Acha kupotosha maandiko,Mungu ndiye aliyemtuma Samwel amtie mafuta Sauli kwa ajili ya kuwaongoza watu wake,
tena alimwambia "nitakukuleta mtu kutoka nchi ya Benyamini nawe mtie mafuta ili awe mkuu juu ya watu wangu Israel"
hivyo Samweli alitumiwa na Mungu kumtia mafuta Sauli kuwa mfalme na yeye alibaki kuwa nabii tu.kwa kukusaidia soma
I SAMWELI 9:15-27 na 10:1.
 
Kumbe hata Marasi waliopita Mawazri wao walikuwa wakifanya madudu? Kumbe tofauti kati ya JK na Marais walimtangulia ni kuchelewa kuchukua hatua? Binafsi naona JK ni bora kuliko waliomtangulia kwa sababu kwanza anaona, anatafakari, anajiridhisha na kuchukua hatua. Lakini pia Mwigamba hakusema iliwachukua muda gani Marais waliotangulia kuwachukulia hatua mawaziri wake. Naona kama bwana Mwigamba ana chuki zake binafsi na Serikali ya Jk na hana jipya kabisa. Kama kiongozi, huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kuchukua hatua kama ambavyo Mwandishi wa habari anavyofanyakazi ya kuandika kile alichokisia kabla hata hajakifanyia kazi na kujiridhisha na uhalali wake.

We Kengemmaji, Ukitaka kujua madhara ya kuchelewa kuchukua hatua rejea yaliyomkuta Rais Milton Obote mtawala wa Uganda awamu ya kwanza, alichelewa kumchukulia hatua Idd Amin halafu alimfanya nini. nanukuu simu aliyompigia David Oyite Ojok akiwa singapore Obote: Have you already arrested General, OJOK: No, but preparation are under hand to arrest him today before down, Obote:Oooh, make it now otherwise you will find it too late: mwisho wa kunikuu. Yes it was too late because the coup to oust Obote`s government had begun half unhour ago at Malile marchanised alignment.
Habu wana jamvini mwelewesheni vizuri zaidi kengemmaji madhara yanayojili hapa inchini kwa Mzee wetu JK kichelewa kuchukua hatua.
 
Natamani waraka huu niutoe copies kisha niwagawie kule kijijini kwetu kwa wasio na uwezo wa kununua gazeti au access ya internet.Tuhakikishe maneno haya yanawafikia wengi
 
Kumbe hata Marasi waliopita Mawazri wao walikuwa wakifanya madudu? Kumbe tofauti kati ya JK na Marais walimtangulia ni kuchelewa kuchukua hatua? Binafsi naona JK ni bora kuliko waliomtangulia kwa sababu kwanza anaona, anatafakari, anajiridhisha na kuchukua hatua. Lakini pia Mwigamba hakusema iliwachukua muda gani Marais waliotangulia kuwachukulia hatua mawaziri wake. Naona kama bwana Mwigamba ana chuki zake binafsi na Serikali ya Jk na hana jipya kabisa. Kama kiongozi, huwezi kuwa mtu wa kukurupuka kuchukua hatua kama ambavyo Mwandishi wa habari anavyofanyakazi ya kuandika kile alichokisia kabla hata hajakifanyia kazi na kujiridhisha na uhalali wake.

Kuna magamba lakini hili lako liko mpaka kwenye utumbo wako!
 
wewe umeiba tembo umesafirisha libya,epa,meremeta.
 
Samson Mwigamba,

Big up. Hakika wewe ni kichwa wala siyo mkia. You really know how to play with your pen.Naomba waheshimiwa wote wa CCM popote walipo wavute huu uzi na waone kile ulichozungumza. Hakika HII NI MESSAGE NZITO SANA KWA CHAMA CHA WANA-MAGAMBA. Huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa. Nahofia tu wasije wakakukamata na kukufugulia tena kesi nyingine ya Uchochezi maana ndo zao hawa mazezeta wa CCM.

VUA GAMBA,VAA GWANDA. FREEDOM IS COMING 2MORROW!

Peoeeeeeeeeplz Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Duu this guy is a good writer, yaani nimejikuta nimesoma makala yote na sikuwa na muda huo. One of those well structured, designed and presented articles
 
Nina maana ni yule mwigamba mwizi wa fedha pale makao makuu ya chadema?

Kalamu yake haina faida kama aliitumia kuchota fedha ofisi za chadema.

Hapo ndipo nikasema hivi sasa Watanzania tunahitaji watendaji sio wazungumzaji ama kwa kalamu au mdomo.

Hivi CDM hamna utamaduni ni lupelekana mahakamani ama kwenu nyie utawala bora HAKUNA??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom