Inawahusu zaidi wanawake

Inawahusu zaidi wanawake

We kama unataka kuoa oa, kama hutaki acha na sio unauliza maswali ya kipumbavu.
 
Lol! Jamani naona sipati majibu straight why? Wanaume wenzangu najua linaumiza hili coz kikawaida ndoa zetu za kisasa lazima utapigwa chini wewe.. Na wanawake nahisi wanaogopa kujibu ukweli..
 
Jamani ivi shule silishafunguliwa mbona bado naona kuna standard seven huku
 
FB kule kwa vinuka nanihii wenzio ndio utapata majibu, usituchafulie jukwaa la wazee hapa.
 
Salamu ndugu zangu.Mimi ni mwanaume, 28 yrs, nategemea kuoa mida ikifika.

Swali: Ukiwa kama mke wa mtu, una mtoto au watoto, akatokea jambazi au lolote jitu, ikawa amri uchague kati ya mmeo au mtoto mmoja wapo auawe na wawili mpone utachagua nani kumtoa sadaka; mme au mtoto.

Nawasilisha.

akili za kuku broila miaka 28 lakn bado unafikiria pumba,
 
Lol! Jamani naona sipati majibu straight why? Wanaume wenzangu najua linaumiza hili coz kikawaida ndoa zetu za kisasa lazima utapigwa chini wewe.. Na wanawake nahisi wanaogopa kujibu ukweli..

kawaulize wenye akili za kipuuzi kama zako ndio watakupa majibu
 
Kama kweli unapanga kuoa karibuni, nampa pole anayetamani kuitwa mkeo maana hapa ni heshima ya koti limetundikwa kwa henga.
 
Hilo sio swami, mazingira halisi ndio yatakayoleta majibu kwa reaction ya wakati huo. Huwezi kuplan namba ya Ku react hadi ujikute ndanivya tatizo.

Vv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom