We kama unataka kuoa oa, kama hutaki acha na sio unauliza maswali ya kipumbavu.
Jamani ivi shule silishafunguliwa mbona bado naona kuna standard seven huku
FB kule kwa vinuka nanihii wenzio ndio utapata majibu, usituchafulie jukwaa la wazee hapa.
Hilo sio swami, mazingira halisi ndio yatakayoleta majibu kwa reaction ya wakati huo. Huwezi kuplan namba ya Ku react hadi ujikute ndanivya tatizo.
Vv
Hiyo haiwezi kutokea
unaleta imagination zisizoeleweka
huna akilu
akili za kuku broila miaka 28 lakn bado unafikiria pumba,
ikitokea ndio nitaamua
Ni sawa na kweli but ninataka kujifunza kitu kuhusu sacrifice in such a deadly situation and preferences!! Its actually the unthinkable situation which anyone might encounter..
Primitive thinkng capacity
Is it 28 yrs old au nimeona vby ni 08???
Mume kama ni wewe inabidi nichague ufe tu kwa maswali ya kijukuu
Si kitu kizuri cha kuongelea na wala hakitakuja kutokea kwa uwezo wa Mungu namwamini yeye kila siku.
mkuu vitu kama hivi ngumu kuelezea aisee yani ni shida