Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Kwa huo mshahara?
Acha kazi aisee.
Halafu ilikuwaje ukaenda kukopa Bayport na Letshego a.k.a FAIDIKA?
Hukuona NMB,CRDB au HAZINA?
Umekosa tahadhari kwenye
mambo ya msingi.
 
Nyinyi walimu miaka yote mmekuwa mnatumika na ccm kushiriki katika wizi wa kura yani hamjui huwa mnaiba haki za watu wengine karma lazima iwalipe pole sana kipato hicho ata kila nyama ni mtihani
Acha wajinyee, wana shida mpaka wamepauka matakoni. Ajira ndogo za sensa nawao unakuta wapo foleni tayari Kwa kuasesiwa, huwez kuta daktari kaomba ajira za sensa
 
Ipo hivyo maana hata akiwa mbishi, kaidi kufata maelekezo na nimtu wa kuhoji sana Kwa mshahara wake ulivyo wa mbuzi TSC hawana kawaida ya kumpa adhabu ya makato ya mshahara asilimia 15 maana mshahara wenyewe hana Sasa watakata nini kwahiyo watu kama hawa hawawez kukumbana na adhabu yoyote ya mshahara zaidi ya uhamisho. Uhamisho kwake ni advantage maana atalipwa tena ana mke na watoto hakosi million tano mpaka Sita
...Azipewe, Sasa !...Maawee. !! [emoji31]
 
That's unacceptable!Huyu mwalimu anaishi na familia yake kwa shida ya hali ya juu sana jumlisha stresses.Hata muuza mboga mtaani ana nafuu sana.
Unaongea muuza mboga yupi? Huyu wa gengeni? Acha masihara mkuu wauza mboga wanapata pesa hata mkuu wa shule asiye na madeni changanya na walimu wawili hawamkuti. Hawa watu linganisha na waokota makopo
 
Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Tatizo la baadhi ya walimu wa nchii hii ni kuendekeza tamaa na kutokuwa na uelewa kwenye masuala yahusuyo mikopo.

Kila siku tunawaambia humu jamii forums msikope kwenye taasisi za kifedha kama Bayport, Platinum au hao Letshego! Kwa sababu riba zao ziko juu sana, na huwa hawawi wawazi wakati wa kuingia mikataba na wateja wao, lakini hamuelewi!

Jamani mkitaka kukopa, nendeni benki kama CRDB, NMB, NBC, nk! Huko kwenye taasisi za kifedha mnaibiwa kupitiliza. Hata hizo benki nilizizitaja hapo juu, riba zake ziko juu! Lakini siyo kama Bayport, Maboto, Pkatnum, Letshego, nk. Kwa hali kama hii Mpwayungu ataacha kuwatukana kweli walimu wa aina hii?

Halafu unatakiwa kukopa kwa malengo. Na siyo kila unapopata shida, basi unakimbilia tu kukopa! Kisa hao jamaa wana ahidi kutoa mikopo ndani ya masaa 24.
 
Back
Top Bottom