Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Yani hyo hela yake ni faida kwny biashara...kwa wengine ni kwa siku..wengine kwa wiki..yani faida it means hapo umeshaondoa kila kitu...

Yani ni faida kwa siku na hainitoshi aisee anahitaji kuamka alipo otherwise ni stress hii,sijaelewa anaishije
 
mIkopo inasaidia lakin ina balaa lake pia

Kuna mwalimu aliwah kuacha kaz kwasababu hyo,alikuwa na mshahara mdogo kama huo akategemea akipandishwa mshahara kidogo kahela kataongezeka na kipindi hicho ndo kaingia yule mbwa wa chato

aLisubir kwa miaka mitatu pasipo daraja kupanda,2019 ikabid aache kazi sahv yupo anasuka kwenye saloon za kike na mwalimu alikuwa wa kiume

Bora saloon kuliko uwalimu wa stress hivyo
Saloon anaweza kukunja hata elfu 40 kwa siku kwa dar
 
dah hii hatari sana , mimi ni mwalimu kama wewe naijua shida ya walimu sana, fanya hivi pambana uhame kituo watakupa pesa ya uhamisho, then fanya mradi wowote , mimi nalima , nafuga , nafanya biashara na nipo arrogant sana mkuuu hanifuati fuati so napata upenyo wa kufanya shughuli zangu, huo sio.salary ni shida
 
🤣😂Unachekesha ila ukweli Mchungu,mie naona anagalau wanawake wanauza vibiashara vidogo wenye wanaume wana pata support Mpwayungu Village siku wachane walimu wanao honga marioo na kuwakopea mikopo wanaachwa walimu na manesi wanapendwa sana ni wajinga kuwadanganya ukawapiga.
Hili nalo ni tatizo kuu sijui kwanini, walimu na manesi wa kike wanalizwa na vijana wa bodaboda, wanazalishwa na kutekelezwa
 
dah hii hatari sana , mimi ni mwalimu kama wewe naijua shida ya walimu sana, fanya hivi pambana uhame kituo watakupa pesa ya uhamisho, then fanya mradi wowote , mimi nalima , nafuga , nafanya biashara na nipo arrogant sana mkuuu hanifuati fuati so napata upenyo wa kufanya shughuli zangu, huo sio.salary ni shida
Akiomba uhamisho watamwambia halmashauri haina fungu kama ni bure Sawa
 
Kila siku tunawaambia
Nyie maticha ni wajinga wajinga sana

Ona sasa huyu boya,

Afu wewe ni mkinga wa wapi?
Mbona wakinga wenzio wana akili?

Unaenda kukopa bayport? Faidika?

Mtavaa sana hayo makadeti yaliyopauka pauka

Na mibuti ilioisha soli upande mmoja
 
Shida ya hawa watu ni waoga sana alafu wanakubali kuwa Cheap as chips!!!
Niliwaona waoga kipind cha semina za sensa, wakufunzi wa semina hawatoi hela ili hali vituo vngne wameshapewa wao wanazidiwa na watoto wa kidato cha nne kuhoji! Wanasema acheni tutafukuzwa!!
Yaan sijui hii sekta ukiingia kwann unakubal kuwa mbulura tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23] walimu wanatapeliwa adi na wale jamaa wanaorusha nguo!!
Wanafunzi wana akili kubwa kuliko hata walimu, mialimu ni mioga, haiogi, hayapigi mswaki, yapo rough, yani yapo hovyo mwili na akili majinga haya
 
Kila siku tunawaambia
Nyie maticha ni wajinga wajinga sana

Ona sasa huyu boya,

Afu wewe ni mkinga wa wapi?
Mbona wakinga wenzio wana akili?

Unaenda kukopa bayport? Faidika?

Mtavaa sana hayo makadeti yaliyopauka pauka

Na mibuti ilioisha soli upande mmoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Basi mkuuuu watajinyonga
 
Naomba kufahamu.... Hivi kwenye hizo taasisi huwa na ukomo wa riba kuendelea kuongezeka katika mkopo??? Au huwa inaendelea kuongezeka mpaka Yesu anaporudi??
Ukomo upo,ila mkopaji hawekwi wazi,kwani ataghairi.
Masharti yao hayako wazi,
Yanayowekwa wazi kwa maneno ya mdomo siyo yaliyoandikwa.
Aidha,wana ulaghai mwingi
kwa mteja&hutumia ujinga
na shida ya mteja kumtapeli.
Mfano;
1.Mteja hapewi fursa ya kusoma mkataba wa mkopo&kujiridhisha juu ya riba.
Hii humzuia mkopaji asije kubaini makosa na kughairi.
2.Taasisi hizi hujipa zenyewe jukumu la kupeleka mikataba ya mikopo kwa waajiri.
Kwa kumhadaa mkopaji kuwa
wanamsaidia.
NB;
Hili ni kosa kubwa sana kwa mkopaji
#Hapo ndipo editing&magumashi hufanyika.
#Hapo ndipo mikataba ya mikopo hubadilishwa.
Kwani smts mkopaji husainishwa forms lukuki pasi kujua matumizi yake.
#Hapo ndipo mkopaji hawezi kuterminate process za mkopo endapo amepata wasiwasi
#Mkopaji pia hawezi kupata nakala ya mkataba wa mkopo
in case kuna ukiukwaji wa
makubaliano.
 
Dah hii pesa kwa biashara ninayoifanya naingiza kwa siku 7 mpaka 10 take home.
Tatizo ni kwamba hii biashara inadharaulika na kila mtu hata mwalimu hadi watoto dah pia ni hatari yaani roho mkononi.
Ila kwa mshahara huu hapana aisee wacha niendelee kukomaa huku
 
mIkopo inasaidia lakin ina balaa lake pia

Kuna mwalimu aliwah kuacha kaz kwasababu hyo,alikuwa na mshahara mdogo kama huo akategemea akipandishwa mshahara kidogo kahela kataongezeka na kipindi hicho ndo kaingia yule mbwa wa chato

aLisubir kwa miaka mitatu pasipo daraja kupanda,2019 ikabid aache kazi sahv yupo anasuka kwenye saloon za kike na mwalimu alikuwa wa kiume
[emoji23][emoji23]aloo ,Dog wa Chato kapita nae mazima[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]
 
Back
Top Bottom