Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Hivi Huwa mnatafuta umaarufu au kuchangamsha genge!? Hivi! why do you expose your personal issues to public!?!unatafuta huruma ya nani!?! Hivi unafikiri humu jamii forum na sisi hatuna matatizo!??
For sure mnakera Sana aisee!! Mimi naamini wewe sio mwalimu ila unania ya kuwachafua walimu au unataka kuchangamsha genge!!
Kwa kifupi tuu! Humu jukwaani Kila mtu ana matatizo yake,Sasa jukwaa litakuwaje Kila mtu akija kulialia Kwa mambo binafsi!!
NB: Be matured
 
Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Wallahi naichukia sana riba, na msile riba

Riba inaumiza sana, nimeshudia watumishi na wasiokuwa watumishi wahanga wa riba, inaumiza sana kwa kweli

Unfortunately mfumo wa dunia wa sasa ni riba oriented

Amesema mjumbe wa mwenyezi mungu(saw) "zitakuja zama hata usipokula riba basi utapigwa na vumbi na riba"

Bilashaka ndio zama zetu sometimes you may take it (riba) anyway! Kwa kujua ama kutokujua ama kwa no way out maana hata HE LSB (Bodi ya mkopo) ni riba amabayo kipindi mnufaika anapata hayo manufaa wala haambiwi atalipa na riba

Polee Sana ....I can feel you!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hivi Huwa mnatafuta umaarufu au kuchangamsha genge!? Hivi! why do you expose your personal issues to public!?!unatafuta huruma ya nani!?! Hivi unafikiri humu jamii forum na sisi hatuna matatizo!??
For sure mnakera Sana aisee!! Mimi naamini wewe sio mwalimu ila unania ya kuwachafua walimu au unataka kuchangamsha genge!!
Kwa kifupi tuu! Humu jukwaani Kila mtu ana matatizo yake,Sasa jukwaa litakuwaje Kila mtu akija kulialia Kwa mambo binafsi!!
NB: Be matured
Mbona umepanic mkuu
 
Sio mwalimu kivipi huoni salary slip inamakato ya CWT. Acha hasira nyie walimu hamjitambui tuu kubalini nyie ni majinga jinga takataka tu
 
Mimi sio mwalimu, siwez kuwa sehemu ya misukule
Kaukosa anautukana!! [emoji116]
JamiiForums-575292719.jpg
 
Nimeuona nakuusoma, huyo Dada ake atavuna laana za kutosha
 
Kazi ya ualimu niyahovyo sana tena sana, Ina maelekezo pande zote nne kila kiongozi anatoa maelekezo Kwa hawa mbweha ajabu mpaka mwenyekiti wa kijiji anawakaripia na kuwapa onyo Ikitokea Kuna jambo lolote lile

Mwaka Jana huko monduli Kuna mwenyekiti wa kijiji alimnasa makofi mwalimu wa sekondari tena ya advance mbele ya wanafunz kisa tu alikutwa Jana yake anakunywa pombe mida ya kazi, japo hairuhusiw ila mwenyekiti wa kijiji ni nani mpaka ampige mwalimu tena wa physics nawakati hayupo kwenye kamati ya nidhamu hata hiyo kamati haina power ya kupiga walimu japo kuwa mwalimu alisema hakuwa na kipindi siku hiyo wanafunz wa kidato cha Sita walienda study tour

Shida ya hawa watu ni waoga sana alafu wanakubali kuwa Cheap as chips!!!
Niliwaona waoga kipind cha semina za sensa, wakufunzi wa semina hawatoi hela ili hali vituo vngne wameshapewa wao wanazidiwa na watoto wa kidato cha nne kuhoji! Wanasema acheni tutafukuzwa!!
Yaan sijui hii sekta ukiingia kwann unakubal kuwa mbulura tu!!
[emoji23][emoji23][emoji23] walimu wanatapeliwa adi na wale jamaa wanaorusha nguo!!
 
Back
Top Bottom