Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Hapo hana access tena ya kukopa popote pale, kwanza hata moja ya Tatu imeshuka kitu ambacho ni kosa kwa mtumishi wa umma, unasema million 30 mkuu ivi unaota nawakati hapo hata laki Tatu hakopesheki na hayo madeni kuisha kwake mpaka atastafu.

Ajabu ya yote sijui amekopaje Kwa hawa Bayport kausha damu, hata hivyo huyu jamaa Kwa basic salary yake tu inaonyesha hajapanda hata daraja moja toka aajiriwe hivyo hana mda mrefu kazini kazidi sana ni 2019 Sasa kakopa Kwa shida zipi benki zote mbili mpaka za Mitandaoni kausha damu??

Anaacha NMB na CRDB anakimbilia letshego bank aonekane wakimataifa mtoto WA town kumbe mbuzi tu unaenda kwenye mabenki yenye riba za kaba koo tena huwa yanasign tu bila kusoma vzr mkataba Wala hayajui riba bei gn yanakuwa na pressure ya pesa tu Kwa mda huo Sasa saizi Mavi yanagonga chupi manina zako

Ndoutajua walimu ni mapungasese hayana akili matahila haya
Kumbuka amesema alipata shida,sio sahihi kumwita taahira
 
Hivi Huwa mnatafuta umaarufu au kuchangamsha genge!? Hivi! why do you expose your personal issues to public!?!unatafuta huruma ya nani!?! Hivi unafikiri humu jamii forum na sisi hatuna matatizo!??
For sure mnakera Sana aisee!! Mimi naamini wewe sio mwalimu ila unania ya kuwachafua walimu au unataka kuchangamsha genge!!
Kwa kifupi tuu! Humu jukwaani Kila mtu ana matatizo yake,Sasa jukwaa litakuwaje Kila mtu akija kulialia Kwa mambo binafsi!!
NB: Be matured
Naomba msaada wa screenshot nione,simu yangu haifungui hii picha
 
Mei mosi wanaenda na vishikwambi wenzao wanaenda na magari ya CWT, SM, STK, STJ, yenyewe Yanaenda yamepakiwa kwenye malori yakifika yamelowa vumbi kama mafungo yaporini Yale yanayolalaga na nyoka shimoni halafu yanasema mama Asante Kwa vishikwambi.

Wenzenu wanapewa magari, transport allowance, house allowance na makorokoro kibao nyie mnapongeza vishikwambi makopo mabovu hayana hata mwanga ukishika kama bati la simba Dume
😂😂😂😂😂😂Daaah mkuu hii hatari na KWenye kuhesabu kura wapo mstari wa mbele
 
Kiatu chako kwa sasa(itani)
 
Attachments

  • FB_IMG_1686347370380.jpg
    FB_IMG_1686347370380.jpg
    29.3 KB · Views: 17
Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania.

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa.

Na huwa sijua hawa watu wanapigaje hesabu, yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh.

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116].View attachment 2650518
Muombe Mungu,amka usiku mnene muombe Mungu ongea nae kwa upole mwambie hili ni zito kwangu nitue,Mungu ni mwema
 
Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania.

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa.

Na huwa sijua hawa watu wanapigaje hesabu, yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh.

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116].View attachment 2650518
Jinyonge
 
Kuna mbweaaa walikuwa wanabisha mkopo hauwezi fika asilimia 100 ya ulichokopaaa haya sasa oneni asilimi 300 hapaaa 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom