Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .




Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Mbwa kama hizi hazitaacha kusemwa na mpwayungu. Hivi katika mikopo unawakopa bayport 😂😂😂😂 nyie ndio mnafanya waalimu wenye akili zao nao waonekane mazezeta. Mshahara wa 400k unakopa sehemu mbili na unarudisha zaidi ya robo ya kipato chako ticha acha ufakeni sipende mnavyosemwa na mpwayungu ila huna akili ticha
 
Shida ni uoga wa kukosa Ulinzi wa kimaslah na mkiendelea kuwaza mishahara serikali ya hawa wavaa nguo za kijani mamamaKE hamtoboi.
Aisee Watanzania tuna uoga wa kipumbavu sana. Sasa kwa mshahara kama huo wa 197,000 unabakia kazini kufanya nini! Na usikute mpaka sasa hajui hata hiyo hela yenyewe aliyo kopa kwa alifanyia nini!!

Watu wa aina hii ndiyo wanaosababisha walimu wote nchini wadharauliwe.
 
Abadani sitakuja kuwaonea huruma hawa mbweha mpaka watakapokuja kujitambua na kudai teaching allowance ili iweze kupunguza ukali wao wa maisha

Wakati huku viongozi wakiingia mikataba mibovu ya kubinafsisha bandari ya dar Es salaam nakupiga mabilioni ya pesa huku mwalimu wa shule ya Msingi anahangaika miaka kumi kumaliza deni la payport ambalo kimsingi ni nusu mshahara wa mbunge au waziri.

Walimu mishahara yenu ni midogo sana kama ilivyo Kwa sekta nyingine tu ila shida nyie hamna posho hicho tu, wateja wenu hawana pesa lakini polisi anauwezo wa kupiga patrol mpaka alfajiri hakosi laki Tatu ambayo ndo mshahara wako wa mwezi japo kuwa mnamzidi mpaka polisi ila wao wateja zao (watuhumiwa) ni watu wazima wenye kutoa pesa mfukoni akitengeneza mazingira ya rushwa ila sio nyie Kwa wanafunzi

Mimi ushauri wangu kutokana na iyo salary slip acha kazi tu ufanye maisha mengine maana hapo utakuwa unaaibisha fan huwez kuishi Kwa dolar hamsini hata siku moja. Au mbinu nyingine ya kivita fanya fujo uwe mbishi usiyeelewana na mkuu wako uwe mwanaharakati ili wakutengenezee zengwe wakuhamishe ili upate pesa ya uhamisho hiyo pesa ufanyie miradi vinginevyo hutoboi

Hapo mkuu ngoma ngumu hiyo maana dah ahsee nashindwa nikwambiaje ila nyie walimu kunguru ana uafadhari yani Mnaishi maisha yakifukara chini ya mstari wa umasikini. Mpo kama mapakashumbe
Upo na uchungu sana na walimu maana umeandika mengi sana
 
mIkopo inasaidia lakin ina balaa lake pia

Kuna mwalimu aliwah kuacha kaz kwasababu hyo,alikuwa na mshahara mdogo kama huo akategemea akipandishwa mshahara kidogo kahela kataongezeka na kipindi hicho ndo kaingia yule mbwa wa chato

aLisubir kwa miaka mitatu pasipo daraja kupanda,2019 ikabid aache kazi sahv yupo anasuka kwenye saloon za kike na mwalimu alikuwa wa kiume
 
mIkopo inasaidia lakin ina balaa lake pia

Kuna mwalimu aliwah kuacha kaz kwasababu hyo,alikuwa na mshahara mdogo kama huo akategemea akipandishwa mshahara kidogo kahela kataongezeka na kipindi hicho ndo kaingia yule mbwa wa chato

aLisubir kwa miaka mitatu pasipo daraja kupanda,2019 ikabid aache kazi sahv yupo anasuka kwenye saloon za kike na mwalimu alikuwa wa kiume
Amshukuru mungu kwa kumuokoa
 
Tatizo la baadhi ya walimu wa nchii hii ni kuendekeza tamaa na kutokuwa na uelewa kwenye masuala yahusuyo mikopo.

Kila siku tunawaambia humu jamii forums msikope kwenye taasisi za kifedha kama Bayport, Platinum au hao Letshego! Kwa sababu riba zao ziko juu sana, na huwa hawawi wawazi wakati wa kuingia mikataba na wateja wao, lakini hamuelewi!

Jamani mkitaka kukopa, nendeni benki kama CRDB, NMB, NBC, nk! Huko kwenye taasisi za kifedha mnaibiwa kupitiliza. Hata hizo benki nilizizitaja hapo juu, riba zake ziko juu! Lakini siyo kama Bayport, Maboto, Pkatnum, Letshego, nk. Kwa hali kama hii Mpwayungu ataacha kuwatukana kweli walimu wa aina hii?

Halafu unatakiwa kukopa kwa malengo. Na siyo kila unapopata shida, basi unakimbilia tu kukopa! Kisa hao jamaa wana ahidi kutoa mikopo ndani ya masaa 24.
Wanaenda Bayport kwasababu ni masaa 24 tu huku kwingine wanaona jam maana utaambiwa upitie Kwa mkuu wa shule, afisa utumishi, wakili, uje Kwa mwajiri wako kwahiyo sijui wanakuwa na haraka gn mpaka wanaenda huko

Shida huwa haziishi Sasa hawa ndugu zetu wakipata kiu ya bia tu tayari anavuta mkopo, akitaka kuowa anavuta mkopo, akitaka kujenga anavuta mkopo, kununua pikipiki anavuta mkopo. Hawajui hata jinsi ya kufanya mkopo uwe unazalisha Kwa njia ya biashara wao wanawaza chochote Kwa mda huo wanafanya tu bila malengo
 
Kwa huo mshahara?
Acha kazi aisee.
Halafu ilikuwaje ukaenda kukopa Bayport na Letshego a.k.a FAIDIKA?
Hukuona NMB,CRDB au HAZINA?
Umekosa tahadhari kwenye
mambo ya msingi.
Naomba kufahamu.... Hivi kwenye hizo taasisi huwa na ukomo wa riba kuendelea kuongezeka katika mkopo??? Au huwa inaendelea kuongezeka mpaka Yesu anaporudi??
 
Mbwa kama hizi hazitaacha kusemwa na mpwayungu. Hivi katika mikopo unawakopa bayport [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie ndio mnafanya waalimu wenye akili zao nao waonekane mazezeta. Mshahara wa 400k unakopa sehemu mbili na unarudisha zaidi ya robo ya kipato chako ticha acha ufakeni sipende mnavyosemwa na mpwayungu ila huna akili ticha
Hawana kitu kichwani hawa mkuu
 
Hapo hana access tena ya kukopa popote pale, kwanza hata moja ya Tatu imeshuka kitu ambacho ni kosa kwa mtumishi wa umma, unasema million 30 mkuu ivi unaota nawakati hapo hata laki Tatu hakopesheki na hayo madeni kuisha kwake mpaka atastafu.

Ajabu ya yote sijui amekopaje Kwa hawa Bayport kausha damu, hata hivyo huyu jamaa Kwa basic salary yake tu inaonyesha hajapanda hata daraja moja toka aajiriwe hivyo hana mda mrefu kazini kazidi sana ni 2019 Sasa kakopa Kwa shida zipi benki zote mbili mpaka za Mitandaoni kausha damu??

Anaacha NMB na CRDB anakimbilia letshego bank aonekane wakimataifa mtoto WA town kumbe mbuzi tu unaenda kwenye mabenki yenye riba za kaba koo tena huwa yanasign tu bila kusoma vzr mkataba Wala hayajui riba bei gn yanakuwa na pressure ya pesa tu Kwa mda huo Sasa saizi Mavi yanagonga chupi manina zako

Ndoutajua walimu ni mapungasese hayana akili matahila haya
Ila we mjinga unatukana sana walimu

Pungasese ndio nini sasa
 
Hayo yote mkuu hamna wa kumlaumu lawaa zote umezibeba ww mwenywe Kwa kuchukua mikopo chechefu

Pambana na ukienda ku top up tu ndio utashia kujinyonga yaan

All the best u deserve it ,and u should blame no one
Nmekumbuka uzi wako,jinsi ulivyo nyooshwa na mkopo kwa kutumia vibaya.
 
Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .




Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Elimu yako iliyokupa kazi ya ualimu ni ndogo sana. Nenda shule uongeze elimu na uongeze mshahara!
 
Back
Top Bottom