DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,026
- 11,606
Huyu mwamba ana mshahara mdogo cjapata ona. Hii hali imenifikirisha sana.
Mkuu pambana aisee
Mkuu pambana aisee
Kwanini ukope kwa wakopeshaji uchwara wewe ticha kilaza?Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .
Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,
Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .
Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]
Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Harafu unakuta madogo Bado wanakimbilia ajira za kidwanzi kama hiziMm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .
Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,
Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .
Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]
Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Kwa mshahara wake hawezi kukopa kiasi hicho.Hii nchi, Khaa!
Kwa ushauri Mkuu tafuta plan iliyonyooka ifanyie research (minimum 6 months au till mikopo yote ikate" then kopa hata 30M if possible alafu hama ata mkoa kapige harakati nyingine
😅😅😅😅Pesa anayobaki nayo Nina mashaka huwa anakula ugali Kwa picha ya samaki
😂😂😂😂 KayakanyagaHapo hana access tena ya kukopa popote pale, kwanza hata moja ya Tatu imeshuka kitu ambacho ni kosa kwa mtumishi wa umma, unasema million 30 mkuu ivi unaota nawakati hapo hata laki Tatu hakopesheki na hayo madeni kuisha kwake mpaka atastafu.
Ajabu ya yote sijui amekopaje Kwa hawa Bayport kausha damu, hata hivyo huyu jamaa Kwa basic salary yake tu inaonyesha hajapanda hata daraja moja toka aajiriwe hivyo hana mda mrefu kazini kazidi sana ni 2019 Sasa kakopa Kwa shida zipi benki zote mbili mpaka za Mitandaoni kausha damu??
Anaacha NMB na CRDB anakimbilia letshego bank aonekane wakimataifa mtoto WA town kumbe mbuzi tu unaenda kwenye mabenki yenye riba za kaba koo tena huwa yanasign tu bila kusoma vzr mkataba Wala hayajui riba bei gn yanakuwa na pressure ya pesa tu Kwa mda huo Sasa saizi Mavi yanagonga chupi manina zako
Ndoutajua walimu ni mapungasese hayana akili matahila haya
Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh . [emoji1541]Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .
Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,
Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .
Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]
Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Doohhhh.... Inasikitisha sana 😭😴📌Primary huyo huoni basic salary, secondary Kwa C1 ni 590000 na 616000 Kwa C3 (diploma)
😂😂😂😂msenge Mpwayungu
Hhhahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kazi nyengine ni za moto aisee,sasa ulisoma uwalimu wa nini mkuu
Yeah sure [emoji28][emoji28][emoji28]"Au mbinu nyingine ya kivita fanya fujo uwe mbishi usiyeelewana na mkuu wako uwe mwanaharakati ili wakutengenezee zengwe wakuhamishe ili upate pesa ya uhamisho"
Mwalimu huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mwamba ana mshahara mdogo cjapata ona. Hii hali imenifikirisha sana.
Mkuu pambana aisee
Anajiona digitally [emoji28][emoji28][emoji28]Kwanini ukope kwa wakopeshaji uchwara wewe ticha kilza?
Ajira za ******* hupati ata pesa ya kumwagilia moyo tunza Beach [emoji28][emoji28][emoji28]Harafu unakuta madogo Bado wanakimbilia ajira za kidwanzi kama hizi
Hizo hela ulizokopa umefanyia nini milioni 13 jumla ni hela nyingi.Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .