Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

mimi sijashtuka kuangalia salary slip yako ila nitaogopa sana kama hauna shughuli nyingine ya kuingiza kipato.
Nimekutana na watu haishi kwa kutegemea mshahara kabakiza moja ya tatu tu na deni likipungua anafanya top up mkopo kujazia kwenye shughuli zake.
Usilalamike wala usikate tamaa tafuta njia halali kulingana na sehemu ulipo kujipatia kipato cha ziada maisha yasonge utasimulia nini ukizeeka print hizo slip uzitunze.
 
Wanateseka hta wanapostahiri kutesa. Waache unyonge shida nao wana vibunge vibunge viingii ndani ya Vyama vyao.
Mimi nimewashauri sana, hakuna njia rahisi yakuepukana na ukandamizaji zaidi ya maandamano. Solution ni walimu kupiga tarumbeta waandamane fullstop

Kuna mda unafika hata kenge anahitaji kuoga eti, hawa watu wameteseka vya kutosha CWT imewatelekeza nawasivyo na huruma hawaangalii Unadaiwa kiasi gn wao asilimia mbili ipo pale pale
 
Vyama vimekaa kipigaji vinadhurumu watu kwa mabavu na wao wanafahamu ila ndio vile wanabaki kunong'ona na kuchungulia kwa mbali wakuu wasisikie... Uoga huuu
 
mimi sijashtuka kuangalia salary slip yako ila nitaogopa sana kama hauna shughuli nyingine ya kuingiza kipato.
Nimekutana na watu haishi kwa kutegemea mshahara kabakiza moja ya tatu tu na deni likipungua anafanya top up mkopo kujazia kwenye shughuli zake.
Usilalamike wala usikate tamaa tafuta njia halali kulingana na sehemu ulipo kujipatia kipato cha ziada maisha yasonge utasimulia nini ukizeeka print hizo slip uzitunze.
Kwa mshahara huu kipato hicho cha ziada labda awe nacho saizi ila kama anatarajia kuanza harakati sijui zitakuwa zipi zisizohitaji mtaji mkuu. Kwa hii pesa haiseviki kusema asevu apate mtaji huo ni uongo na ndoto za bunuwasi
 
Vyama vimekaa kipigaji vinadhurumu watu kwa mabavu na wao wanafahamu ila ndio vile wanabaki kunong'ona na kuchungulia kwa mbali wakuu wasisikie... Uoga huuu
Mei mosi wanaenda na vishikwambi wenzao wanaenda na magari ya CWT, SM, STK, STJ, yenyewe Yanaenda yamepakiwa kwenye malori yakifika yamelowa vumbi kama mafungo yaporini Yale yanayolalaga na nyoka shimoni halafu yanasema mama Asante Kwa vishikwambi.

Wenzenu wanapewa magari, transport allowance, house allowance na makorokoro kibao nyie mnapongeza vishikwambi makopo mabovu hayana hata mwanga ukishika kama bati la simba Dume
 
Kwa mshahara huu kipato hicho cha ziada labda awe nacho saizi ila kama anatarajia kuanza harakati sijui zitakuwa zipi zisizohitaji mtaji mkuu. Kwa hii pesa haiseviki kusema asevu apate mtaji huo ni uongo na ndoto za bunuwasi
hakuna kisichowezekana brother inategemea na mahali alipo. Punguza mawazo hasi
 
Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Mikopo inayopatikana kirahisi ndio matokeo yake. Kwanini usifikiri njia nyingine ya kujikomboa kiuchumi?
 
Mm ni mwalimu na Nina familia lakini maisha nayoishi kwa Sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania .

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi Wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba Tena mwiba hasa ,

Na sijuagi Hawa watu wanapigaje hesabu yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh .

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2650518
Pole sana mkuu , Anzisha tuition, amasisha vijana ulinzi shirikishi n.k .. huko dunia ya kwanza ni kawaida mtu kuwa na ajira plus side hustle ata tatu kama kipato hakitoshi,huku kwetu sijui katuroga nani!!!
Pambana hakuna kukata tamaa

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom