Ilikuwa ni muda wa masaa 4 tangu askari wakike ajilaze kitandani toka saa mbili na nusu akiwa na mpenzi wake anakuja kutaharuki anakuta wamelala watu watatu katika kitanda chao cha sita kwa sita anageuka upande wa kushoto anakuta kuna mtu mara upande wa kulia kuna mtu pia huku yeye akiwa katikati kabla ajatamalaki nin kimetokea anajikuta yupo katikati ya dimbwi la damu na kugundua kuwa amelala na maiti wakati bado ajajua mpenzi wake ni yupi kati ya wale wawili ikabidi ahanze kupiga kelele hili kuomba msahada kuangalia chini ya mto anakuta bastora pamoja na kisu muda huo Police nao wanaingia na kumuweka chini ya ulinzi kwa kosa la mauaji ................ntaimalizia ngoja kwanza niludi kutoka kazini....!!!!!!