inauma sana........

Mwaaaa!


Mwaaaa!


Mwaaaaa!


Mwambie pilipili asiyoila yamuwashia nini? Atukome na atutue kama tui la nazi! Zaidi sana yatamshinda manake hayamuhusu!
 
Last edited by a moderator:
Ndo kina nani hao uliowataja ni wanaume au wanawake????

hao wanachonga eti mimi natoka nje natembea na sweetlady sijui nini wakati wote hao wana mpango wa kukutumia PM za mapenzi wanakutaka
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaa!


Mwaaaa!


Mwaaaaa!


Mwambie pilipili asiyoila yamuwashia nini? Atukome na atutue kama tui la nazi! Zaidi sana yatamshinda manake hayamuhusu!


Futa futa haraka hapo wasione wale akina Baba V na mwenzake Bishanga na Filipo maana watachonga mpaka basi
Mwaahhhh
mwahaaaa
mwahhaaa
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaa!


Mwaaaa!


Mwaaaaa!


Mwambie pilipili asiyoila yamuwashia nini? Atukome na atutue kama tui la nazi! Zaidi sana yatamshinda manake hayamuhusu!

sweetlady! We endeleza hako kauzanga kako,siku nikikuletea ngariba Kongosho akufanzie ndo utashika adabu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…