mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,370
- 6,533
- Thread starter
- #21
wananchi wenye hasira
duuuh haupo siriaz mkuu
wananchi wenye hasira
wananchi wenye hasira
I don get ur point.........
umeongea ukweli mtupu mkuu hope utakuwa mzazi mwema
alijipa mwenyewe hiyo mimba??
unafahamu sababu za huyo dada kufanya hivo?
Vipi ikiwa ni mwanaume aliyekataa kulea watoto?
Pamoja na ukweli kuwa hiyo mimba kapewa na mwanaume, na hata kama huyo mwanaume aliikataa hiyo mimba, bado kutupa watoto si jambo la kiungwana wala la kuungwa mkono kwa sababu zozote ile. Huo ni uuaji tu sawa na uuaji wa aina nyingine yeyote.
Huyo mwanaume wake ana makosa, ila huyo binti naye kafanye makosa makubwa zaidi. Angekataa kubeba mimba maana suala la kubeba mimba bado liko ndani ya control ya mwanamke!
alijipa mwenyewe hiyo mimba??
ungemlea daktari wangu.....wengine wanakesha wakiomba
wapate watoto wengine wanawatupa
sasa kama alivumilia miez 9 , je kuwalea kashindwa ?? heri hata angekabidhi kwa watu wamsaidie kulea
Jaman dunia inaelekea mwisho,mwanamke asiyefahamika kajifungua mapacha wa kiume na kike na kisha kuwatupa hapa kituoni kimara baruti kwa bahat mbaya tumeshuhudia tayari vishakufa.polisi bado wanamtafuta mtuhumiwa huyo aliyefanya unyama huo. daah woto ni wazuri balaaa hadi inatia hasira kwanini alifikia uamuzi huo.
my take
wanawake acheni tabia ya kutupa viumbe visivyo na hatia dhambi mfanye nyie mje kuwatesa yote inatokana na tamaa zenu mbadilike jamani