Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
angalia na wewe usije ukawa unaangalia upande mmoja em nikuulize kwani huruma inapaswa kuonyeshwa na wanawake peke yao?kwamba wanaume hata wasipoonyesha huruma ni sawa tu?umeoa wewe?after all sikutoa majibu mepesi tu ukisoma between lines utaona kwamba sikumtetea mwanamke wala nini nilijaribu kuangalia chanzo cha kutupa watoto na kujaribu kutoa suluhisho la hilo janga,kwani kulalamika tu bila kuchunguza kiini cha tatizo ni msaadalessss.mnatoa majibu mepesi sana! hata kama huyo mwanaume kamkataa bado sio sababu ya kutelekeza watoto stand! women are merciless, except my mother period.