Inasikitisha wanawake nyie ni viumbe hatari

Inasikitisha wanawake nyie ni viumbe hatari

haya majanga yanatokea kila leo due to unplanned pregnancies!

imagine haya mambo yanfanywa mpaka na wana vyuo vikuu!!!

ukiwaambia condoms, wanakwambia hakuna ladha!

wakipewa mimba, wananyonga watoto..!

this is painful..!

mkuu umenena waambie wadada hao.kaz kulalamika tu ooooh mwanaume kaniacha cjui nn je ungemnyima kumpa papuchi angekufa
 
Jaman dunia inaelekea mwisho,mwanamke asiyefahamika kajifungua mapacha wa kiume na kike na kisha kuwatupa hapa kituoni kimara baruti kwa bahat mbaya tumeshuhudia tayari vishakufa.polisi bado wanamtafuta mtuhumiwa huyo aliyefanya unyama huo. daah woto ni wazuri balaaa hadi inatia hasira kwanini alifikia uamuzi huo.

my take
wanawake acheni tabia ya kutupa viumbe visivyo na hatia dhambi mfanye nyie mje kuwatesa yote inatokana na tamaa zenu mbadilike jamani

Kwahiyo mkuu jumla walikua watoto wawili au wanne?
 
anatafuta mabalaa huyo...wengine wanatafuta watoto yeye anakufuru anatupa! jamani jamani...Mwenyezi Mungu hajalala anaona jamani!!!!!!!!!!!!!!

unaona enhee dadaangu watu wanafunga na kuomba wapate watoto yy anawatupa
 
hee damu aita muacha yeye na baba watoto...naomba ubadilishe na kichwa cha habar sio wanawake wote na baadhi ya wanaume mnaokataa mimba mbadilike..sio mnakataa uko afu mnakuja kutulilia apa ooh sie wakatili ata nyie wakatili..

Hahahaha, noted mamiii
 
binamutz ni kweli haipendezi kutupa kiumbe asiye na hatia lakini na mimi nina haya kwa wanaume:

Kama unajua lengo lako sio kuoa mshauri huyo unayemtamani basi hata atumie uzazi wa mpango

Ikitokea kinyume na matarajio yenu mimba ikaingia chukueni jukumu la kulea mimba na mtoto,kwani kwa kukataa mimba ni sawa na kumtupa mtoto asiye na hatia

kwa kufanya hivyo nadhani kasi ya kutupa watoto kwa akina mama itapungua kwani si wote wanaowatupa kimakusudi au wakiwa na ufahamu wao kabisa,wengine wanalemewa na hisia za kuchanganyikiwa :scared: juu ya hatima ya watoto wao au pengine wengine wanaathirikia kisaikolojia kwa jinsi alivyokanwa na baba mtoto na kuamua kuchukua uamuzi mgumu kama huo.

N;B wanaume acheni kukana mizigo yenu mliyoipandikiza ninyi wenyewe :mimba:

wanawake hata ikiwa mwanaume kaikataa mimba usitupe mtoto ni zawadi kuoka kwa mungu siku akikua ndo utujua uzuri wa mtoto.
Usikute hiyo mimba ilikuwa ya kutegeshwa...
 
mnatoa majibu mepesi sana! hata kama huyo mwanaume kamkataa bado sio sababu ya kutelekeza watoto stand! women are merciless, except my mother period.
 
Last edited by a moderator:
hakutaka kuonekana!!

labda kamkimbia!!

pamoja na kutetea sana, bado hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivo! hata kama ukikataliwa still huwezi tupa malaika wa Mungu eti kisa umekataliwa! bado sipati picha! this is an extreme brutality for sure!
 
alijipa mwenyewe hiyo mimba??
The issue here is not "nani alimpa hiyo mimba" issue ni kwamba kwa nini awatupe mapacha hao, tena kwenye mazingira hatarishi yaliyopelekea vifo vyao? Okey, tuseme aliyempatia hiyo mimba alikataa kumsaidia katika malezi ya hao malaika/watoto, je kuwatupa ilikuwa ni last alternative? Kuna watu wa ustawi wa jamii, makanisa, misikiti na hata vituo vya kulelea watoto yatima n.k, n.k je, hivi navyo vilimtosaaaa?
THINK BIG......!
 
my take
wanawake acheni tabia ya kutupa viumbe visivyo na hatia dhambi mfanye nyie mje kuwatesa yote inatokana na tamaa zenu mbadilike jamani

......Mkuu kwani ni wanawake wote ndio wanaofanya haya madudu? jitahidi uwe unaepuka generalization...
 
chanzo wanaume kukataa mimba mwanaume asingekataa mimba inawezekana hayo yasingetokea lakini siungi mkono kitendo alichokifanya.Nashauri wanaume tubadilike hizi tabia za wanawake kutoa mimba na kutupa watoto zinatakuwa historia endapo wanaume tukiacha kukataa majukumu yetu.
 
Jamani jamani, Eeeh Mungu uturehemu sisi viumbe dhaifu!!!!!!

Jamani wadada kama unajihisi ujisikii kuitwa mama kwa kipindi hiko kwanini ubanjuke, mwishoe unakuja kufanya mauaji kwa kiumbe kisicho na hatia??????

Au utasingizia maisha magumu/ baba mtoto kakutelekeza; mbona kuna vichaa, ombaomba, hao wanamaisha ya ajabu lakini unakuta wanawatoto na Mungu anawasimamia wanakuwa vizuri tu....!

Au unahisi mtoto atakubana na starehe zako za dunia???? Kama unaona mtoto atakuwa kikwazo kwako kufurahia ujana si bora ukampeleka kwenye mashirika ya kulelea watoto yatima akaishi huko?

Inasikitisha sana kiukweli kwa baadhi ya wanawake kuwa na roho ya kishetani kama hiyo maana kuna wengine wanahangaika usiku na mchana ili wapate mtoto, we Mungu kakujalia tena mapacha unavitupa???? So sad!!!!!!!!!!!
 
hee damu aita muacha yeye na baba watoto...naomba ubadilishe na kichwa cha habar sio wanawake wote na baadhi ya wanaume mnaokataa mimba mbadilike..sio mnakataa uko afu mnakuja kutulilia apa ooh sie wakatili ata nyie wakatili..
Mbona kwenye jambo zuri huwa mnafurahia kuhusishwa wote? Mfano ule msemo wa wanawake wakiwezeshwa wanaweza, hivi nawe unaaamini kuwa kila mwanamke akiwezeshwa anaweza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom