Inasikitisha wanawake nyie ni viumbe hatari

Inasikitisha wanawake nyie ni viumbe hatari

...mwanaume ndo aliyekataa mimba...katoka nduki baada ya kutembea bila soksiiiii
 
alijipa mwenyewe hiyo mimba??

Hata kama, hatua aliyofikia ni hatari n' believe me damu ya watoto hao haitamuacha salama, angewapeleka hata k2o cha kulelea yatima mbona ingeeleweka watu wanatafuta watoto yeye anateketeza?
 
heading yako inajumuisha mama yako na ndugu zako wote wa kike? my mom is not one of that kind, please!
nachukia sana hukumu au sifa za jumla jumla!
 
sikatai kama hausiki but hyo roho ya kuua kiumbe mnaitoa wap?kwan anaye ua ni mwanaume au mwanake

wanahusika wote wawili endapo mwanaume alimtelekeza mama.
atahusika mama peke yake kama:
1. umasikini ni sababu
2. alimtoroka mumewe kwa sababu zisizo na msingi

ongeza zako
 
sikatai kama hausiki but hyo roho ya kuua kiumbe mnaitoa wap?kwan anaye ua ni mwanaume au mwanake

Muuaji no 1 ni huyu aliyekataa mimba!! Msaidizi wake ambaye ni mwanamke ni muuaji no 2 aliyetii/ aliyetekeleza amri ya kichwa "mwanaume" na kuwatupa watoto. WOTE WAWILI NI WAUAJI SAWASAWA!!!
 
Hata kama, hatua aliyofikia
ni hatari n' believe me damu ya watoto hao haitamuacha salama,
angewapeleka hata k2o cha kulelea yatima mbona ingeeleweka watu
wanatafuta watoto yeye anateketeza?
hee damu aita muacha yeye na baba watoto...naomba ubadilishe na kichwa cha habar sio wanawake wote na baadhi ya wanaume mnaokataa mimba mbadilike..sio mnakataa uko afu mnakuja kutulilia apa ooh sie wakatili ata nyie wakatili..
 
mwenye hatia si mwanamke peke yake, baba wa hao watoto atakuwa alimkataa sidhani kama angekubali majukumu angefikia uamuzi huo, mwanamke na mwanaume wote wana makosa
 
Umaskini jamani ni kitu kingineee....

Kwani wakati "asumani jicho moja" anachokora kule maeneo, huo umaskini ulikuwa hauonekani au ghafla bin vuu hawa mabinti hutoka katika hali ya utajiri kwenda kuwa masikini???

Lazima tutambue kuwa kila jambo lina mwanzo wake, huo ujauzito haukutokea kwa nguvu za miujiza bali kuna mtu aliyepanga kwenda kudinyana bila kufikiria mwisho wa dahari...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom