Inasikitisha sana wazungu wanaposhangaa na kuhuzunika hadi sasa Corona haijaua kwa wingi Waafrika kama Italy na New York

Kwasasa Covid19 ishatukamata maana hatuwezi kuicontrol tena,watu walipuuza baada ya salama na fatuma kutoa movie yao ikiongozwa na director meter_core bashite kwamba covid19 sio issue na producer alivyokuja kumalizia kwamba tupige kazi tu maana huku kwetu haiwafevi virus wa corona.....Tumekuja kustuka kushakucha baada ya covid19 kuichakaza TBCCM.....Kwa Africa upungufu wa kinga ni mwingi sana maana tunaendekeza ngono kwahiyo NGWENGWE + COVID19 ni hatari.
 
Walitabiri wiki tatu zilizopita ikifika pasaka waafrika weusi watapuputika kama Nzi kwaugonjwa wa Corona na walikuwa wanasubiri kwa hamu sana itokee. Hadi jana walishangaa masela bado tunadunda tuu licha ya kujisaidia porini na vichakani na IQ zetu mbovu zenye Mushkheli.

Kuna kahusuda fulan wanayo hawa watu. Sasa hivi wamehamisha data zao kwa black Americans kujifariji eti wanakufa kwa wingi wakati wao ndio wanapuputika. Kwasababu data zinaonyesha vifo vya coronavirus Marekani Black Americans na minority wengine ni 55% na mizungu ni 45% kwa hiyo blacks pekee yao wanaokufa tuseme ni 25% ukimlinganisha na mizungu 45%.

Licha ya mapungufu yetu Mungu anazidi kuturehemu.

Unakuta chama cha Republican wanajisifia kumjua Yese siju anti arbition lakini wanafuta makusudi fungu la hela la social benefits na states handouts kisa zinawafaidisha kwa wingi Black America wakati hela yenyewe ni ndogo sana kwenye budget kama tone baharini na haidhuru chochote na kampuni zao zinaibia mafuta arabuni.

Democrats ndio hawana time na Yesu na kibaya wanaunga ushoga ila wanajali sana walala hoi. Kwa kila taifa siyo kila mtu anajiweza lazima serikali ipige watu jeki kwenye social benefits.

Waafrika weusi mababu zao wamefanya kazi na kujenga Marekani bila kulipwa wakati wautumwa kwa manyanyaso ni wakati wa vizazi vyao vya sasa wafurahie matunda ya mababu zao kwa kupumzika.

Mungu azidi kulinda ngozi nyeusi popote pale duniani.

Sasa hivi mwenye kinga imara ya mwili ndiye mshindi kuliki mwenye hela
Mungu syo deus sisi ni ngoma ngumu kunamuda wanatamani kuwa sisi alaf sisi hatujipendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha tuendelee tu kujifariji kwa huu ujinga na kejeli wakati lilikuwa ni angalizo muhimu kwetu.
Adui wa kutumaliza waafrika sio mzungu bali ni Corona, na sasa huyo adui tunaye mtaani anatutafuna taratibu.

NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
Watutabilie kufa wao wa kina Nani? Virusi hivi inaaminika vimetengenezwa marekani Sasa mundu Ana wa show job

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
NOTE: Waafrika hao ni wale wenye magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu. Hawa wengi wana matatizo ya kiafya kwasababu ya maisha wanayoishi na ukandamizwaji wanaofanyiwa.
 
Wacha tuendelee tu kujifariji kwa huu ujinga na kejeli wakati lilikuwa ni angalizo muhimu kwetu.
Adui wa kutumaliza waafrika sio mzungu bali ni Corona, na sasa huyo adui tunaye mtaani anatutafuna taratibu.

NOTE:
Mpaka sasa kwa Marekani wengi waliokufa na wanaokufa ni waafrika kuliko wazungu.
Pia Mungu sio mbaguzi wa rangi, kama anaweza kutukinga sisi na Corona anaweza kuwakinga na wazungu pia.
Weye kama u- mwafrica pure lazima ukifa nikuweke kwenye Jumba la Makumbusho, pale kijijini Mwenge!! lkn sasa hii ni jf haiwezekani, hata sijui kwa nini nawaza na kupenda kukufanyia hivi!! ila unastahili kufanyiwa hivo sana tu!!

Waafrica ndo wayahudi hasa!
 
Back
Top Bottom