Inasadikika Jeffrey Epstein yu hai

Inasadikika Jeffrey Epstein yu hai

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,103
Reaction score
9,585
Kuna nyaraka za siri zimevuja.

Zinadai Jeffrey Epstein yuhai ni mzima anaendelea kula maisha maafichoni.

Nyaraka hizo zinadai, Epstein kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa, alitoroshwa jela na kupelekewa mafichoni huko Marekani ili kupunguza minong’ono.

Kisha dunia ikatangaziwa Epstein amejinyonga akiwa jela mwaka 2019.

Nyaraka hizo zimevuja kipindi hiki ambapo uovu mwingi kuhusu Epstein na watu maarufu wa dunia akiwamo Trump mafaili yao kuanza kuanikwa wazi kwa umma.
 
Epstein's island.

Diddy did it ,Trump ,Jigga been there done that.
 
Mafile ya wakubwa yote yapo, Jamaa walikuwa wanarikodi na kutunza kumbukumbu, yaani dunia imejaa wabakaji watoto, wafiraji na wagonjwa wa akili, kina Prince Andrew na wenzie, just imagine think tank ya Marekani kina Thiel. Unaweza ukawa na pesa halafu kumbe huna utu ila unajifanyisha Tu kuwa ni mwema nk ndo kinachowakuta kina Bill gates...Epstein files imefungua watu macho Sana, halafu Eti wanapigia wenzao kina Rusia, China ni madikteta wakati wao ndo wale wale...Hii dunia mwenye nguvu ndiye atakaye tawala.
 
Kwahiyo Trump kaliwa na Clinton?
 
Wameona muziki wa kihajemi siyo wa kitoto, pia Ndege za Kivita 53 za mizigo kutoka China zilipelekwa Tehran, wakaona kupotezwa hii vita Bora wake na Epstein. Iran anaenda kuzizamisha meli za US
 
Kuna nyaraka za siri zimevuja.

Zinadai Jeffrey Epstein yuhai ni mzima anaendelea kula maisha maafichoni.

Nyaraka hizo zinadai, Epstein kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa, alitoroshwa jela na kupelekewa mafichoni huko Marekani ili kupunguza minong’ono.

Kisha dunia ikatangaziwa Epstein amejinyonga akiwa jela mwaka 2019.

Nyaraka hizo zimevuja kipindi hiki ambapo uovu mwingi kuhusu Epstein na watu maarufu wa dunia akiwamo Trump mafaili yao kuanza kuanikwa wazi kwa umma.

HUU UONGO WA KITOTO MNADANGANYANA MADOGO KAMA MIAKA NA MIAKA MNASEMA TUPAC YUPO HAI. MKIKOSA CHA KUSIMULIANA NDO MNAKUJA NA HAYA MAPIGO
 
Kwahiyo Trump kaliwa na Clinton?
Epstein kwenye moja ya mafaili Yake anasema "Nimekutana na watu wengi wabaya lakini hakuna aliyemzidi Trump Kwa ubaya"....Trump anaonekana ana mambo mengi ya kando, machafu.
 
Aiseee 😁😁

Kwamba Trump ni mchicha mwiba
 
HUU UONGO WA KITOTO MNADANGANYANA MADOGO KAMA MIAKA NA MIAKA MNASEMA TUPAC YUPO HAI. MKIKOSA CHA KUSIMULIANA NDO MNAKUJA NA HAYA MAPIGO
IMG_8914.jpeg
 
Hii issue ya Epstein,wale wamarekani weusi wa Nzega na Nanjilinji,wanaipita kama vile wanaaga maiti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom