Inasadikika Jeffrey Epstein yu hai

Inasadikika Jeffrey Epstein yu hai

Kuna nyaraka za siri zimevuja.

Zinadai Jeffrey Epstein yuhai ni mzima anaendelea kula maisha maafichoni.

Nyaraka hizo zinadai, Epstein kwa kushirikiana na baadhi ya wakubwa, alitoroshwa jela na kupelekewa mafichoni huko Marekani ili kupunguza minong’ono.

Kisha dunia ikatangaziwa Epstein amejinyonga akiwa jela mwaka 2019.

Nyaraka hizo zimevuja kipindi hiki ambapo uovu mwingi kuhusu Epstein na watu maarufu wa dunia akiwamo Trump mafaili yao kuanza kuanikwa wazi kwa umma.
Fucking pedo...
 
Aiseeee
 
Epstein alikua jasusi wa Mossad na mission yake ilikua kuwapaka ma dingi woote na wanasiasa wa Marekani, ili yeyote atakaye kua madarakani alafu atoe nywinywinyi, apewe dossier yake, ndio maana Trump hanalakusema kwa Israel na akiambiwa Lamba analamba, mission accomplished!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom