Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,157
Reaction score
137,185
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].

Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.

Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.

Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.

Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!

Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?

It looks like something is brewing inside CCM….

What say you? Good thing or bad thing?
 
Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
 
Wakati wa uchaguzi kuna drama nyingi sana.

Hao wote wamekuwepo kwenye mfumo, wamekula keki ya taifa na na kusaza, leo ni jambo gani limewasibu mpaka mwenyekiti wao awe na shida?

Hatukatai yote wasemayo yanamantiki, ila shida ni wao kuyasema hayo leo au wakati huu wa uchaguzi
 
Kusema ukweli huyu bibi Bora angepumzika tu baada ya kumaliza urithi wake.Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anapenda aendelee tena mitano mingine kama baadhi ya vichaa wachache wanavyompamba eti mitano tena.
 
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].

Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.

Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.

Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.

Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!

Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?

It looks like something is brewing inside CCM….

What say you? Good thing or bad thing?
I think ccm should grow a spine at learn to take a punch, for so long wanawaona wakosoaji wa viongoz au chama kama maadui
Bu they are not, simply kuna mambo hayako vizuri, why wakae kimya? For what?
 
Back
Top Bottom