Joyboy
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 1,386
- 3,455
Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya.
Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana.
Diamond Platnumz wanamshtaki sana kwa kuiga sana nyimbo za wa Nigeria na hata kuiga dressing style za wasanii wao.
Kama ndo hivyo bac mlio karibu naye mshaurini bac aachane na hayo mambo.
Yaan ukisoma vitu vingine vinavyoandikwa kweny hizo page ni aibu sana kwa msanii mkubwa kama Diamond.