Ugm bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,157
- 5,676
Kwamba kukosekana kwa ngozi nyeusi matajiri sababu ni uislam 😀,,au mimi ndo sijakuelewa vizuri, mbona na wewe unataka kuwa kama MK254 yule jamaa wa kibera Kenya mana yeye hata akizabwa makofi na mkewe lawama lazima awatupie waislam na uislam,, wajumbe wametoa sababu zenye mashiko kabisa ikiwemo ile ya ujamaa kipindi cha awamu ya kwanza wewe unaulamu uislam 😀,, na kama hoja yako kwamba ukristo unapendelea wazawa, marais wakristo si walitawala na tena wao ndio walioanza, Inakuwaje inakosekana ngozi nyeusi?,, yupo mdau katoa sababu zenye mashiko kabisa ya kuwa hawa wenzetu weupe wana connection kitambo,, Mwengine akaenda mbali na kusema ngozi nyeusi tuna roho mbaya,, wewe unasema uislam duh😀kwa sababu ya uislamu, matajiri waislamu wamepewa utajiri na maraisi waislamu au wametajirikia kwenye uraisi wa waislamu.
sasa kuna tofauti kwenye mafundisho ya kidini kati ya uislamu na ukristo, ukristo unapendelea wazawa wa nchi husika na wazawa wengi kwanza imo kwenye Biblia wakati waislamu unapendelea muislamu acchh it’s just too complicated naishia hapo …
Kwamba kukosekana kwa ngozi nyeusi matajiri sababu ni uislam 😀,,au mimi ndo sijakuelewa vizuri, mbona na wewe unataka kuwa kama MK254 yule jamaa wa kibera Kenya mana yeye hata akizabwa makofi na mkewe lawama lazima awatupie waislam na uislam,, wajumbe wametoa sababu zenye mashiko kabisa ikiwemo ile ya ujamaa kipindi cha awamu ya kwanza wewe unaulamu uislam 😀,, na kama hoja yako kwamba ukristo unapendelea wazawa, marais wakristo si walitawala na tena wao ndio walioanza, Inakuwaje inakosekana ngozi nyeusi?,, yupo mdau katoa sababu zenye mashiko kabisa ya kuwa hawa wenzetu weupe wana connection kitambo,, Mwengine akaenda mbali na kusema ngozi nyeusi tuna roho mbaya,, wewe unasema uislam duh😀
Hahaha!! jibu lako limenikumbusha hii meme..Sawa uko sahihi,
Yani jibu liko google, na rating za matajiri wa bongo watu Wana zijua.Hahaha!! jibu lako limenikumbusha hii meme..View attachment 2923938
achana na waarabu na wahindi,jiulize ni kwa nini mchgga akifika mkoa wowote anatoka?Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti huwa ni kwamba ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni kisha ndio tuanze kutafuta mrefu kati yetu mbilikimo wa mafanikio,!
Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
Wanatoka wapi ? Kuna mchaga anayemfikia Gsm mtoto wa juzi tu hapo?achana na waarabu na wahindi,jiulize ni kwa nini mchgga akifika mkoa wowote anatoka?
sijasema ulinganishe na GSM,,kwanza GSM si mfanyabiashara kwa asili,mali utajiri wenyewe unatokana na kukwepa kodi na misamaha ya kodi,,na wala usijidanganye engineeer hersi ndie mmiliki wa hiyo kampuni,,,enginner ni mpambe tu mzee,mwenye kampuni ni mmbantu kama wewe ila ni mwansiasa maarufu aliyestaafWanatoka wapi ? Kuna mchaga anayemfikia Gsm mtoto wa juzi tu hapo?
Acheni kujipa sifa ,inaleta huzuni kuongozwa na jamaa ..wenzio mpaka kenya yaani africa kwa ujumla wanashika hatamu na wapo wachache.
Wachaga kwa wingi ni kabila la pili au la tatu kwa Tz nzima ,kweny probability kuna chance kubwa ya kujitokeza katika kila fursa ila waarabu ni wachache still wapo juu pale.
Achana kujidanganya wenzio wana damu ya biashara ,GSM kafanya kazi tangu mzee wake pale Tanga tunamjua ..Acheni porojo wenzenu wanapiga kazi ,wanaendeleza biashara kwa vizazi nyie kelele kibao.sijasema ulinganishe na GSM,,kwanza GSM si mfanyabiashara kwa asili,mali utajiri wenyewe unatokana na kukwepa kodi na misamaha ya kodi,,na wala usijidanganye engineeer hersi ndie mmiliki wa hiyo kampuni,,,enginner ni mpambe tu mzee,mwenye kampuni ni mmbantu kama wewe ila ni mwansiasa maarufu aliyestaaf
Zipo sema wengi wenye hizo hela hazijakaa katika mtiririko wa kihasibu maana wengi shule hakuna.Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti huwa ni kwamba ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni kisha ndio tuanze kutafuta mrefu kati yetu mbilikimo wa mafanikio,!
Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
Sera mbaya za CCM ni sababu kubwa.Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti huwa ni kwamba ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni kisha ndio tuanze kutafuta mrefu kati yetu mbilikimo wa mafanikio,!
Ni uwezo mdogo wa kufikiri, tumeridhika au nini?
Tukiwaweka waarabu na wahindi pembeni waliobaki ni mbilikimo wa maendeleo ila hata kwa mbilikimo huwa kuna mrefu wao, hapa kwetu huyo mrefu wetu ndio wachaga angalau wana nafuu lakini kusema kwamba kila mchaga anatoka akienda mkoa wowote huo ni uongo, wapo kibao ambao wana maisha ya kawaida na wengine wamepigika,achana na waarabu na wahindi,jiulize ni kwa nini mchgga akifika mkoa wowote anatoka?
Ni kweli,lakini ata wahindi na waarabu sio wote ni matajiri,wengine wamepigika kuliko mimi na wewe,na ogopa sana muhindi aliyepigika anachoka vibaya mno,nenda kuna yule rafiki yangu pale kisutu ninaekunywa nae mnazi,jana yenyewe kaniomba nimrushie japo buku atoe lioki,nenda magomeni uone waarabu waliopigika,nenda pale mtaa wa lumumba uone mambo,alaf malizia ilala ukutane na mambo mazito kuhusu hao majamaa!!!ata wazungu wapo wengi tu wamepigika,nenda pale mitaa ya KCMC MOSHI,ukutane na mzungu anayejiita MUSHI,,,,,yaani huyo MUSHI kachapika kiasi kwamba muda wote yupo kwenye ubanda,kinachomwokoa ni kina mama wa kichagga kumgombania ili angalau wazae nae wakiamini watazaa vijiniazi....nenda jiji la NEW YORK ukajionee wzungu wanaombaomba rodini kama wagogo,ata huyu BONGO ZOZO ni mjanjanjamjanja tu!!Tukiwaweka waarabu na wahindi pembeni waliobaki ni mbilikimo wa maendeleo ila hata kwa mbilikimo huwa kuna mrefu wao, hapa kwetu huyo mrefu wetu ndio wachaga angalau wana nafuu lakini kusema kwamba kila mchaga anatoka akienda mkoa wowote huo ni uongo, wapo kibao ambao wana maisha ya kawaida na wengine wamepigika,
GSM ya kitambo sana, sema imekuja kiwa incorporated kama GSM miaka ya karibuni ila biashara na vitendea kazi ni vya toka miaka ya uhuru hukoHivi GSM nayo ni ya kitambo? Miaka ya Nyuma, Mengi, Mafuruki na Diallo walikua wanaingia 10 bora
Duh!GSM ya kitambo sana, sema imekuja kiwa incorporated kama GSM miaka ya karibuni ila biashara na vitendea kazi ni vya toka miaka ya uhuru huko
Tunaangalia percent, Hata wazaramo wakimya wapo, hata wamasai wasiokula nyama wapo, hata wanawake walioolewa na wanaume wafupi kuzidi wao wapo, ila ni ajabu sana kuwakuta, na ndivyo hivyo ilivyo kwa waarabu na wahindi ni nadra kukuta aliepigikia kiasi huwa tunashangaa, kwa jamii zetu hizi za asili ni kweli wachaga ndio warefu kwenye kundi la mbilikimo wa maendeleo lakini kukuta mchaga kachoka ni kawaida sana sababu hata hao wachaga asilimia ya waliofanikiwa kwa elite class ni kama 3% tu, upper middle class wanaweza kuwa 10 %, middle class wanaweza kuwa 20%, waliobaki wengi wana uchumi wa kawaida sana ama wa chini, ndio hao wanaofanya ionekane kawaida wala tusishangae kuona mchaga aliepigikaNi kweli,lakini ata wahindi na waarabu sio wote ni matajiri,wengine wamepigika kuliko mimi na wewe,na ogopa sana muhindi aliyepigika anachoka vibaya mno,nenda kuna yule rafiki yangu pale kisutu ninaekunywa nae mnazi,jana yenyewe kaniomba nimrushie japo buku atoe lioki,nenda magomeni uone waarabu waliopigika,nenda pale mtaa wa lumumba uone mambo,alaf malizia ilala ukutane na mambo mazito kuhusu hao majamaa!!!ata wazungu wapo wengi tu wamepigika,nenda pale mitaa ya KCMC MOSHI,ukutane na mzungu anayejiita MUSHI,,,,,yaani huyo MUSHI kachapika kiasi kwamba muda wote yupo kwenye ubanda,kinachomwokoa ni kina mama wa kichagga kumgombania ili angalau wazae nae wakiamini watazaa vijiniazi....nenda jiji la NEW YORK ukajionee wzungu wanaombaomba rodini kama wagogo,ata huyu BONGO ZOZO ni mjanjanjamjanja tu!!
Mo Dewji ni mnyaturu, Rostam Aziz ni mnyamwezi, wafanyabiashara wengine ni wapemba, wandendeule, waluguru, wasukuma wa Nassa n.k