Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
ni mziki,wanaeake na msosi
 
Hakuna wateja wanafiki kama walevi. Ikifunguliwa sehemu mpya kali wanahama wote Kitambaa cheupe na kwenda huko. Sema kuna Bar ziko kama Kagera Sugar...yaani hazichukui ubingwa wala kushuka daraja kirahisi. Arusha kuna Jogoo house, Sakina bar, Kenny Garden, Parma, Sarafina, Arusha Night park, Mrina, Stanley, picnic, Wakulima nk... hizi tumezikuta na ziko hivyohivyo. Zinakuja Bar na kutoweka ila zenyewe zipo tu.
 
Waganga wao wanalipwa per diem
 
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Jina lina special attention,kumbuka jina likiwa brand positive attention inongezeka
 
Hakuna wateja wanafiki kama walevi. Ikifunguliwa sehemu mpya kali wanahama wote Kitambaa cheupe na kwenda huko. Sema kuna Bar ziko kama Kagera Sugar...yaani hazichukui ubingwa wala kushuka daraja kirahisi. Arusha kuna Jogoo house, Sakina bar, Kenny Garden, Parma, Sarafina, Arusha Night park, Mrina, Stanley, picnic, Wakulima nk... hizi tumezikuta na ziko hivyohivyo. Zinakuja Bar na kutoweka ila zenyewe zipo tu.
Picnic ya bwana Tony haina mfano ile sijui kwa sababu ya wale raia pale njee ndio maana haichuji,, pia anayo nyingine mkabala na mt meru hotel inaitwa Mount Point nayo ni ya moto Sana
 
Mimi nadhani wameset standard zao na kuwa consistent nazo
 
Nilisema nikija daslamu lazima nitembelee mitaa hyo...basi bana tukaenda mhhh ndo nikaona watu wanavuta shisha...wengine wanakunywa soda moja masaa huku macho yanaangaza angaza wadada haoo..
Kwakweli jiji limenishinda toka nihame huko naona kila kitu kinanishangaza...
 
The Great inajaza kuanzia saa 6 usiku mpaka kule bondeni
Kitambaa saa 2 ishajaza
Kama una akili timamu bora ukaenda The Great kuliko kitambaa cheupe sababu mambo yaliyopo kitambaa cheupe hata the great yapo isipokua mashoga tu
Aseee 🤣
 
Naskia picnic na hiyo mt point ya oposite mt meru hotel anabadilisha wafanyakaz kutoa huku kupeleka kule so wateja wanakuwa hawajawazoea
Picnic ya bwana Tony haina mfano ile sijui kwa sababu ya wale raia pale njee ndio maana haichuji,, pia anayo nyingine mkabala na mt meru hotel inaitwa Mount Point nayo ni ya moto Sana
 
Naskia picnic na hiyo mt point ya oposite mt meru hotel anabadilisha wafanyakaz kutoa huku kupeleka kule so wateja wanakuwa hawajawazoea
Kitambaa cheupe Sinza anazingua kitu kimoja. Wafanyakazi wanakaa miaka na miaka habadilishi, hadi wanazoea wateja, haifai. Mwaka mmoja unatosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom