Inakuwaje Doctor kumfungulisha mwanamke?

Sina wasiwasi na mke wangu na sijatoa hii mada kwa ajili ya mke wangu bali ni kwa jamii yote sisi sote inayotuzunguka tunakokwenda na ambao wameshapata kufanikiwa na pia hii ni kama mtizamo ambao upo kwenye jamii yetu.......Sasa ni kujadili hili swala linakuwaje ila ukisema kwamba nina wasiwasi wa mke wangu hujajua bado nipo vipi......Kwa hiyo cha muhimu mada ndio izungumziwe zaidi sio kumtolea mtu mfano..

Lakini pia mawazo yako ni mazuri kwa ujumla inabidi na sisi tujiendeleze kwa upande fulani kielemu.......

Samahani ndugu yangu Yassin.. yah i agree ni direct attack .. am so sorry buddy .. hope no hard feelings ???

all in all nafikiri it doesnt matter who attends to ones wife during delivery as long as daktari ameshughulika ipasavyo na whatever the situation amejitahidi to the best of his/her ability to safe another human .. kwanza aipende kazi yake, maana wengine kama wamelazimishwa, na ana utu na imani hata huruma .. maana wengi wamekuwa wanyama hawajui maumivu ya wenzao sijui wamezoea kuona maiti au ni roho za ukatili tu .. sorry ladies .. wanawake tunaongoza kwa roho za ukatili .. wenzangu wengi wameniunga mkono kwa hili.

So it doesnt matter ni nani au wapi hata ma private hospitals though kwa rate ndogo .. na mipesa wanayopokea bado watu wanateseka.

Tumuombe Mungu manusura tu kwani sikuhizi kubeba mimba ni njia kuu ya kwenda kaburini

Hope umenisamehe
 
Usijali kabisa kwa binabamu kukosea ni kawaida hasa kwenye mazungumzo kama haya so usijali kwa hilo............

Pia ulivyosema ni sawa kabisa maana kwanza ukiangalia hiyo kitu ya wanawake ambao wanafanya hivyo ni kweli sehemu nyingi sana nimesikia hilo swala..........Lakini sasa sijui hii tabia itakwisha lini maana kama ni hivyo basi nadhani itakuwa balaa mtakuwa mkienda kujifungua mnakuwa hamna amani lakini vizuri,mawazo yako mazuri sana......

Pamoja
 
Back
Top Bottom